Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nyie hizo seats zenu ni behewa moja tu, kelele hivi. Imagine, mna trains kama zetu na sisi kama zenu. Pangekalika humu kweli?
Yet still they hope to get funding to put up rail line out of nowhere to malaba. Mwaka wa saba huu walipaswa wawe wamesha break even but they are still minting losses as we speak with delayed loan repayment schedule.Inakaa Kundurenda wanaenda kulipa three times the original loan! Yaani $3.8 bln*3!
8 hours mpaka afike atakuta hiyo machine aliyoianika hapo imeshachemsha tayari😁
Safari ya kulala kabisa at that short distance it must be because of a sluggish train.Best in the region,,,, hatukwami njiani 👇👇
View attachment 3171389
View attachment 3171390
View attachment 3171391
View attachment 3171392
Elimu yenu ndogo sana kwenye kuchanganua data. Data za mzigo 2020 Rwanda alipitosha mzigo 1.2m tonnes Tanzania na 2023 mzigo umeongezeka mpaka 1.6m tonnes an increase of 400k tons. While in 2020 Rwanda imported roughly over 230k tons through kenya and in 2023 520k tons an increase of over 290k tons. Sasa mzigo wa Rwanda uliopungua Tz ni upi? Bearing in mind increase ya Rwandan cargo via Tz over the last 3 years is almost the same with mzigo Rwanda anaopitisha Kenya kwa mwaKa.
unamaanisha nini?? kwamba kwenye mchongoko unafungiwa behewa moja la royal class kisha behewa zilizobaki mnafungiwa business class au?Sasa nyie hizo seats zenu ni behewa moja tu, kelele hivi. Imagine, mna trains kama zetu na sisi kama zenu. Pangekalika humu kweli?
bora kuliko kulazwa porini against my will with no food having to fight mosquitoes 😁😁😁Safari ya kulala kabisa at that short distance it must be because of a sluggish train.
😆Umeme wetu wa mazabe likikwama polini huko si abiria wataliwa na Simba..
Walileta hilo behewa kwa ajili ya kujifariji tu, wana donda flani ambalo linauma muda wote na donda lenyewe liko rohoni aisee 😩 hapo bado treni ya ghorofa na behewa za mizigoSasa nyie hizo seats zenu ni behewa moja tu, kelele hivi. Imagine, mna trains kama zetu na sisi kama zenu. Pangekalika humu kweli?
Endelea kujipa moyo.Walileta hilo behewa kwa ajili ya kujifariji tu, wana donda flani ambalo linauma muda wote na donda lenyewe liko rohoni aisee 😩 hapo bado treni ya ghorofa na behewa za mizigo
SGR ya kenya behewa moja premium mengine yote unakalia ubao 😁unamaanisha nini?? kwamba kwenye mchongoko unafungiwa behewa moja la royal class kisha behewa zilizobaki mnafungiwa business class au?
Nani anajipa moyo kati yetu na nyie!?Endelea kujipa moyo.
Ati? 😂😂 kabehewa kamoja!Nani anajipa moyo kati yetu na nyie!?
Mna train la aina moja tu na kabehewa kamoja kenye seats hizo na hakakuja na mwanzoni, only after maumivu yalivyozodi.
Nyie ni watu wajinga sana, mna fanya mambo kwa mihemko mno.
Wajinga sana Wakenya! Walileta behewa hilo simply kwakua trains za Tanzania ziliwauma na ndio pekee linapostiwa huku kila kukicha wakati mradi wao unaendeshwa kwa hasara na bado wanafanya mambo kitoto.Ati? 😂😂 kabehewa kamoja!