Engine za diesel ziliagizwa toka mwanzo kwaajili ya shunting tuu na sio kwa matumizi ya mainline.mambo imechemuka 😁😁
View attachment 3175614
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engine za diesel ziliagizwa toka mwanzo kwaajili ya shunting tuu na sio kwa matumizi ya mainline.mambo imechemuka 😁😁
View attachment 3175614
🤣🤣🤣🤣🤣Kinyonge kivipi sisi after boarding the train unapata breakfast asubuhi before you finish your breakfast and newspaper reading umeshafika. Nyie sasa breakfast lunch na dinner humohumo what's the difference na lunatic rail.
sema ukweli,, maji yamewafika shingoni!! 😁😁Engine za diesel ziliagizwa toka mwanzo kwaajili ya shunting tuu na sio kwa matumizi ya mainline.
🤣🤣🤣 tafuta hizi nyuzi uwasaidie wenzako kumwaga povu 👇👇No matter how much you cosmeticize your medieval diesel gari Moshi,the truth is,unaumia moyoni,hutaweza kubadilisha chochote,utaendelea kuumia hivyo,hatuna Cha kukusaidia😂😂
'habari njema' hizi hapa 👇👇👇Nyie endeleeni na sgr yenu ya mafuta (ya diesel)
Dah umaskini mbaya kwa hiyo mnapanga kushibia kwenye treni, by the way kwa nginja nginja hilo mngepewa hata sima🤣🤣🤣🤣🤣
breakfast gani?????
kitu naeza nunua hapa pekee ni maji ya kunywa tu na maybe apple fruit yenye ntatafuna later on👇
View attachment 3175804
you probably don't know what a proper breakfast entails.
Continental breakfast wewe mbuzi.🤣🤣🤣🤣🤣
breakfast gani?????
kitu naeza nunua hapa pekee ni maji ya kunywa tu na maybe apple fruit yenye ntatafuna later on👇
View attachment 3175804
you probably don't know what a proper breakfast entails.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe achana na huo uzushi
Leo bandarini
dizeli au? 🤣
Unajitekenya na kucheka mwenyewe achana na huo uzushi
View: https://x.com/MsigwaGerson/status/1867641220765467003
🤣🤣🤣 Umia tudizeli au? 🤣