Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
niumizwe kulazwa porini??? 😳😳🤣🤣🤣 Umia tu
seriously? 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niumizwe kulazwa porini??? 😳😳🤣🤣🤣 Umia tu
Asiyesoma magazeti ni mjinga, lakini anayesoma magazeti na kuamini kila kitu anachosoma kwenye magazeti ni mjinga hata zaidi.
wewe wacha maneno mengi bana. subiria vichwa vya dizeli mwakani. hivyo vichwa vitatumia dizeli mwanzo/ mwisho!Jana nilikuasa kwa nukuu hii hapa juu.
Sasa leo msikilize kwa makini mkurugenzi mwenyewe alivyosema.
wewe wacha maneno mengi bana. subiria vichwa vya dizeli mwakani. hivyo vichwa vitatumia dizeli mwanzo/ mwisho!
sasa kipi kigumu hapo kuelewa?
View attachment 3177470
wewe wacha maneno mengi bana. subiria vichwa vya dizeli mwakani. hivyo vichwa vitatumia dizeli mwanzo/ mwisho!
sasa kipi kigumu hapo kuelewa?
View attachment 3177470
muhimu ni kuelewa 😁😁😁Basi nimekuelewa mkurugenzi mkuu wa TRC.
hizi zimeshindwa na kazi. subiria mwakani vitu vipya vinashushwaKama hizi tu..
View attachment 3177475
muhimu ni kuelewa 😁😁😁
wafahamishe na wenzako pia ambao bado wanakaza fuvu 🤣
keyword ni kuelewa.Mimi ni nani mpaka nikaze fuvu kwa wewe mkurugenzi wa TRC?
Nasikia kamanda Boni Yai amegeuka kuwa chawa siku hizi😁
SGR yetu bado kuwa connected na bandarini wewe pimbi.Trc bhana 😂😂😂🙌
wana mchezo sana,,, shughuli zinafanyika kienyeji sana.
dude linabebwa kama gunia la viazi
View attachment 3177576
View attachment 3177577
View attachment 3177578
View attachment 3177579
View attachment 3177590
tofauti sana na nchi zinazojielewa 👇
View attachment 3177580
View attachment 3177581