Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Simba ni mmoja tu. Ubaya ubwela. Huyo kamanda ni paka😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni mmoja tu. Ubaya ubwela. Huyo kamanda ni paka😁
Kale kabehewa kamoko!
Ka kupigia picha😁😁Kale kabehewa kamoko!
pole sana iwapo nimekukwaza... 😁😁Kale kabehewa kamoko!
🤣🤣🤣🤣🤣Mnapata faida gani kusema uongo ? Mna ijua hio kurasini au mna kariri tu kufanya siasa nyepesi ?
Hapa eneo la kurasini kilwa road kuna daraja la chuma ambalo ni jembamba. Kutokana na ujenzi wa Njia ya Mwendokasi phase II unao endelea kutoka mbagala hadi kurasini imebidi daraja hilo lina panuliwa lipite juu kwa ajili ya ma Bus ya DART.
Chini ya hili daraja kuna njia ya zamani ya train inapita. Hio hio inakarabatiwa kwenda port. No new SGR to port
Mukiulizwa hilo daraja kutoka port linaenda kuunganishwa wapi ? Na soko la kariakoo ?
Wacheni Uongo .
Aliepewa tenda kujenga SGR ni kampuni ya YAPI Merkezi. Hilo daraja linajengwa na kampuni ya China CCCECC
Stop misleading the public. Kama Reli itafika Port sawa itafika but sio on this Yapi Agreement.
Sent from my iPad using JamiiForums
8 hours on the way 🤣🤣🤣Kale kabehewa kamoko!