Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
naona unafosi kukariri na hii pia jamaa wa HVAC 🤣SGR ya kenya behewa moja premium mengine yote unakalia ubao 😁
zipo classes tofauti kwenye treni,,, mfuko wako ndio utakaoongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona unafosi kukariri na hii pia jamaa wa HVAC 🤣SGR ya kenya behewa moja premium mengine yote unakalia ubao 😁
mpuuzi sana wewe. ulitaka yafungwe mabehewa mangapi?Wajinga sana Wakenya! Walileta behewa hilo simply kwakua trains za Tanzania ziliwauma na ndio pekee linapostiwa huku kila kukicha wakati mradi wao unaendeshwa kwa hasara na bado wanafanya mambo kitoto.
Wazee wa kukurupuka ku catch up bila mipango 🤣🤣🤣naona unafosi kukariri na hii pia jamaa wa HVAC 🤣
zipo classes tofauti kwenye treni,,, mfuko wako ndio utakaoongea.
🤣🤣🤣 umeandika kiunyonge sana hadi unatia huruma.Wazee wa kukurupuka ku catch up bila mipango 🤣🤣🤣
ili iweje?Ni suala la muda tu.
Kinyonge kivipi sisi after boarding the train unapata breakfast asubuhi before you finish your breakfast and newspaper reading umeshafika. Nyie sasa breakfast lunch na dinner humohumo what's the difference na lunatic rail.🤣🤣🤣 umeandika kiunyonge sana hadi unatia huruma.