Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Inakaa Kundurenda wanaenda kulipa three times the original loan! Yaani $3.8 bln*3!
Yet still they hope to get funding to put up rail line out of nowhere to malaba. Mwaka wa saba huu walipaswa wawe wamesha break even but they are still minting losses as we speak with delayed loan repayment schedule.
 
Elimu yenu ndogo sana kwenye kuchanganua data. Data za mzigo 2020 Rwanda alipitosha mzigo 1.2m tonnes Tanzania na 2023 mzigo umeongezeka mpaka 1.6m tonnes an increase of 400k tons. While in 2020 Rwanda imported roughly over 230k tons through kenya and in 2023 520k tons an increase of over 290k tons. Sasa mzigo wa Rwanda uliopungua Tz ni upi? Bearing in mind increase ya Rwandan cargo via Tz over the last 3 years is almost the same with mzigo Rwanda anaopitisha Kenya kwa mwaKa.
 
Sasa nyie hizo seats zenu ni behewa moja tu, kelele hivi. Imagine, mna trains kama zetu na sisi kama zenu. Pangekalika humu kweli?
unamaanisha nini?? kwamba kwenye mchongoko unafungiwa behewa moja la royal class kisha behewa zilizobaki mnafungiwa business class au?
 
Safari ya kulala kabisa at that short distance it must be because of a sluggish train.
bora kuliko kulazwa porini against my will with no food having to fight mosquitoes 😁😁😁
 
Sasa nyie hizo seats zenu ni behewa moja tu, kelele hivi. Imagine, mna trains kama zetu na sisi kama zenu. Pangekalika humu kweli?
Walileta hilo behewa kwa ajili ya kujifariji tu, wana donda flani ambalo linauma muda wote na donda lenyewe liko rohoni aisee 😩 hapo bado treni ya ghorofa na behewa za mizigo
 
Walileta hilo behewa kwa ajili ya kujifariji tu, wana donda flani ambalo linauma muda wote na donda lenyewe liko rohoni aisee 😩 hapo bado treni ya ghorofa na behewa za mizigo
Endelea kujipa moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…