Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Majirani zetu Kenya Wana SGR la Hovyo lkn hawana changamoto za kijinga kama Sisi! Laiti mwenda zake angekuwepo huyu Kadogosa angemla bila kunawa!
hebu fafanua uhovyo wake uko wapi?
usiwe mtu wa kujiropokea.
 
Niliongea nikaonekana mi ni mkenya
🀣🀣🀣 wako wapi saa hii??? nawaona kwenye majukwaa mengine na kule twitter (X) wakilia na kutaka 'Mkurugenzi mkuu' kupigwa kalamu. aibu wanaiona hadi wakija hapa wanakuja kwa utaratibu sana na kuchomoka
 
Uwajibikaji ni tatizo kubwa tanzania, gakuna jambo litafanikiwa kama hili tatizo halitoisha.
 
Tanzania kwa sasa hatuna upungufu wa umeme, Tatizo kubwa lipo kwa uwajibikaji wa waliopewa mamlaka ya kusimamia Trc.
 
Vindicated πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…