Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

🤣
IMG_20250108_185713.jpg

IMG_20250108_185243.jpg

IMG_20250108_165524.jpg
 
Majirani zetu Kenya Wana SGR la Hovyo lkn hawana changamoto za kijinga kama Sisi! Laiti mwenda zake angekuwepo huyu Kadogosa angemla bila kunawa!
hebu fafanua uhovyo wake uko wapi?
usiwe mtu wa kujiropokea.
 
Niliongea nikaonekana mi ni mkenya
🤣🤣🤣 wako wapi saa hii??? nawaona kwenye majukwaa mengine na kule twitter (X) wakilia na kutaka 'Mkurugenzi mkuu' kupigwa kalamu. aibu wanaiona hadi wakija hapa wanakuja kwa utaratibu sana na kuchomoka
 
Uwajibikaji ni tatizo kubwa tanzania, gakuna jambo litafanikiwa kama hili tatizo halitoisha.
 
Tanzania kwa sasa hatuna upungufu wa umeme, Tatizo kubwa lipo kwa uwajibikaji wa waliopewa mamlaka ya kusimamia Trc.
 
From January to September, cargo volume ya Mombasa Port imeshinda ports zote za ule upande mwingine na am 100% sure hawaezi karibia hizi numbers at the end of the year.
Huu mwaka naona tukigonga 40 million tonnes tunapoendelea kumkaribisha Mganda kujiunga na Sgr yetu 😁😁.
View attachment 3125825
Vindicated 👇
Gg60qDbXEAAAsIj.jpeg

Gg50fL8bgAAxRJ_.png
 
Back
Top Bottom