Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi sema humu management ya TRC imeoza haitaweza kuendeaha huu mradi.
Mkuu, ni mda tu ndio utakao amua!Niliwahi sema humu management ya TRC imeoza haitaweza kuendeaha huu mradi.
hebu fafanua uhovyo wake uko wapi?Majirani zetu Kenya Wana SGR la Hovyo lkn hawana changamoto za kijinga kama Sisi! Laiti mwenda zake angekuwepo huyu Kadogosa angemla bila kunawa!
Niliongea nikaonekana mi ni mkenyaMkuu, ni mda tu ndio utakao amua!
🤣🤣🤣 wako wapi saa hii??? nawaona kwenye majukwaa mengine na kule twitter (X) wakilia na kutaka 'Mkurugenzi mkuu' kupigwa kalamu. aibu wanaiona hadi wakija hapa wanakuja kwa utaratibu sana na kuchomokaNiliongea nikaonekana mi ni mkenya
Vindicated 👇From January to September, cargo volume ya Mombasa Port imeshinda ports zote za ule upande mwingine na am 100% sure hawaezi karibia hizi numbers at the end of the year.
Huu mwaka naona tukigonga 40 million tonnes tunapoendelea kumkaribisha Mganda kujiunga na Sgr yetu 😁😁.
View attachment 3125825