Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

ndiyo hivyo yaani hiyo inaitwa tia adabu hiyo ikishakamilika kenya nzima haukuti vitu kama hivyo hadimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ita,tuki,tuta tete zeze ivi hua hamchoki na izi nyimbo zenyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wimbo mbeleni ulikuwa stesheni zetu zitakua nzuri kuliko za Kenya ,baada ya kutengenezwa mabanda ya kuku soga na pugu mumeanza ooh naskia ya dar itakuwa na ghorofa 20 oh blabla you guys cut the bullshit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaonyeshwa mfano,usipagawe chief

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia "mfano" wa pugu na soga unavo vutia kwa rendering [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyi kwa renders na mdomo hamjamboo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
images%20(5).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ita,tuki,tuta tete zeze ivi hua hamchoki na izi nyimbo zenyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wimbo mbeleni ulikuwa stesheni zetu zitakua nzuri kuliko za Kenya ,baada ya kutengenezwa mabanda ya kuku soga na pugu mumeanza ooh naskia ya dar itakuwa na ghorofa 20 oh blabla you guys cut the bullshit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
ngojea utajionea mwenyewe hizo soga na pugu zisikutie presha ni stations ndogo ndogo zilizo katika kati kutoka stations kubwa na tumezijenga hizo maalum kwaajili ya kuwa karibu na wananchi na hazitoishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia "mfano" wa pugu na soga unavo vutia kwa rendering [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyi kwa renders na mdomo hamjamboo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1056461

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hivi ndo zilikua Kwa render alafu kile Choo ndo wanajenga in reality!!! Yarabii!!!!
Let me save this pic for future reference, nangojea ujenzi ukamilike mpaka waeke glasses,cadding na kila kitu alafu nilinganishe vizuri..
 
duh...povu lote hilo...umeshaanza kunukuu na kuyatafsiri matukio..kumbe mliiumia majirani...

ugua pole pole tu
 
Back
Top Bottom