komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kweli hyu jamaa anawatesa akili zenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila siku mnamfikiria tu
Mi nimeacha kum-engage baada ya kumuelewa. Yani Kenya masomo yote toka darasa la kwanza hadi chuo kikuu lugha ya kufundishia ni kingereza. Tuseme Jumla miaka 12 usipoenda chuo na Unakuta mtu bado anaongea broken ya "an hotel" analinganisha vitu anasema "is best"! Saivi tena "you beats us". Alafu alipoona kutumia "the" ni kwenye "slaughtering THE albinos!! Kweli?!
Huyo siwezi kujibizana nae halo