komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mi nataka hzo new model banaSo, unataka kujua tofauti ya speed kati ya treni ya umeme itakayo operate Tz na ile inayo operate UK c ndivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nataka hzo new model banaSo, unataka kujua tofauti ya speed kati ya treni ya umeme itakayo operate Tz na ile inayo operate UK c ndivyo?
[emoji116][emoji116]
We tena unajielewa kweli, au ndio umeshachanganyikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1419300
Hapana hizi ndo new modelsWe tena unajielewa kweli, au ndio umeshachanganyikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo hzo ndio new model? Km ndizo basi itabidi ulete na ushahidi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Chinese first class 😂 😂 😂Hapana hizi ndo new models
![]()
Ni sababu zipi hizo mkuu? Ziweke tuzijadili.Pamoja na kuwa idea ya kujenga SGR ni nzuri lakini si Kenya wala Tanzania yenye uwezo wa kipesa wa kujenga SGR.
SGR ya Tanzania itaishia hewani kama ya Kenya.
Wazo zuri lilikuwa ni kuimarisha MGR kama ilivyoshauriwa na World Bank na kuachana na SGR hadi nchi iwe na uchumi wa kueleweka. Ukweli ni kwamba SGR zote za Kenya na Tanzania ni white elephants.
Sababu zilizofanya MGR na TAZARA ziwe loss-making ndiyo hizo hizo zitafanya SGR iwe loss-making.
"African soil can feed the whole of Europe, America, Asia but their problem is just one, "THEIR LEADERS" - Vladimir Putin - Reporters Press NGKuwa na moyo wa kuthubutu na ndiyo Afrika itaendelea co mawazo ya kufeli km mliyonayo nyie eti hatuwezi kujenga sgr wkt unaona inajengwa yn asilimia kubwa ya waafrika ni very stupid and they don't believe in themselves very very stupid people on Earth
Huyu angejua kwanini WB wamelazimisha MGR asingeongea! Kiukweli ni sababu ya Ujerumani as one of WB donors, wants to keep his heritage intact within her old colony! Sababu ndio maana hata GoT ilipokuwa na nia ya kuanza SGR wakakataa ku-contribute funds walizopeleka NGR kwa SGR. Na wakati TRC inabomoa jengo la abiria Dar walipiga kelele! Ni Wajinga sana hawa jamaa! wangoje most of their inland NGR terminals zitabomolewa kupisha modern SGR terminals!
My friend, huko kukusanya kodi za kutosha hakutakuja tu kimiujiza. Yaani, siku moja tu tuamke na kukuta tunaweza kukusanya hizo kodi za kutosha. Bali ni mchakato ambao pamoja na mambo mengine ni lazima kuwekeza ili kujiongezea huo uwezo wa kutosha.Nchi inakusanya kodi ya kutosha na kuwa na kipato cha kueleweka. Kinyume na hapo tunabebesha nchi zetu madeni yasiyolipika.
Why MGR and TAZARA failed? I'm realistic, not pessimistic.
Tunajidanya wenyewe kama tunaamini kuwa tunaweza kujenga km 2000 za SGR.
We're not economically capable of doing that project. We just keep on borrowing huge amount of money that we cannot afford to pay back .
Kwenye usafirishaji tunahitaji mambo matatu;Hatuna uwezo wa kujenga MGR ila kuna mkopo wa World Bank unatumia kukarabati MGR.
Kukarabati MGR ni nafuu, ingawa haifiki specifications za SGR lakini inatosha kabisa kukidhi mahitaji ya nchi kwa miaka mingi ijayo.
Ni kwa nini SGR haitakuja kurudisha pesa? Mradi kama huu, viability yake unaipimaje mkuu?Linganisha gharama ya kujenga SGR na kodi tunayokusanya. Pia mradi huu hautakuja kurudisha gharama za ujenzi wake.
Tungejiuliza kwa nini tumefeli kwenye MGR na TAZARA kabla ya kuwa na ndoto kubwa zisizo na uhalisia.
Na huu ndio ukweli, ss leo Magu anakuja kubadili fikra za muafrika lkn bdo ukoloni unatusumbua, ila cna shaka na Magu cz amepewa moyo mgumu sn atapambana kubadili fikra mpk kitaeleweka tu, unajua baada ya hii covid-19 kupamba moto nmekuja kugundua Afrika inadharaulika kwa kiasi ambacho hakina kipimo, hvyo ni muda muafaka ss kwa waafrika kuwaonesha hao washenzi kwamba hata Afrika iliwahi kutawala dunia kupitia Egypty na tunaweza kuirudisha ile zama kupitia taifa lingine la Afrika km tutakuwa na fikra chanya.
Uingereza (London) walipoona uhitaji wa reli za ardhini ili kutatua tatizo la usafiri wa mjini, hawakuwa na uwezo wala uzoefu wa kujenga mtandao mzima. Walichoamua ni kuanza na kipande kifupi cha km 8 tu! Wangetumia akili kama hizo za kusubiri full capacity nao wangekuwa kama sisi.Itafika lakini ni baada ya zaidi ya miaka 15, hatuna uwezo wa kiuchumi kwa sasa wala sidhani kama tunaweza kupata mkopo wa hela nyingi hivyo.
Quote of the day, this is the best comment of the week.My friend, huko kukusanya kodi za kutosha hakutakuja tu kimiujiza. Yaani, siku moja tu tuamke na kukuta tunaweza kukusanya hizo kodi za kutosha. Bali ni mchakato ambao pamoja na mambo mengine ni lazima kuwekeza ili kujiongezea huo uwezo wa kutosha.
Naona hautaki kuzitaja hizo sababu zilizopelekea MGR na TAZARA kuzorota na kufa (kwa TAZARA) ila kimsingi tatizo haijawahi kuwa pesa bali utashi wa kuziendesha.
Kwa upande wa hiyo MGR (reli ya kati) ilikuwa lazima tufanye maamuzi magumu ili kuupa uchumi wetu competitive advantage kwenye eneo zima la maziwa makuu (Dar vs Nairobi).
Ikumbukwe kuwa soko letu la msingi kimataifa ni eneo hili hivyo ni lazima kuwekeza kwenye miundombinu ya msingi ili kuwapa wazalishaji wetu competitive adv. dhidi ya washindani wetu na hasa #254.
Vinginevyo tulikuwa tukizidi kujiweka kwenye very disadvantaged position na kama ile COW ingefanikiwa basi tungekuwa tushapoteza.
Kuhusu madeni kutolipika ni upuuzi na ujinga wetu wenyewe waafrika. Pesa nyingi tunazokopa huenda kwenye miradi uchwara isiyo na tija wala uendelevu.
Kwa mfano. Nchi ya kiafrika inakopeshwa dola milioni 300 kwa ajili ya mradi wa kuelemisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira. Hapo utakuta kuna uhusishwaji mkubwa wa hao wanaokopesha kupitia NGOs na makampuni yao ya consultancy.
Mikopo ya aina hiyo huisha kwa sehemu kubwa ya pesa hizo kurudi kwa mkopeshaji. Mzigo wa deni unabaki kwa mkopaji ambaye ataulipa kwa muda mrefu kupitia vyanzo vingine kabisa vya mapato.
Hapo hapo ukiwaomba wakukopeshe kwa ajili ya mradi wa kuzalisha umeme kwa mfano, ili kuyalinda hayo mazingira utaambiwa mradi hauna tija hivyo haukopesheki.
Sasa kwa mazingira hayo siyo kwamba ni makosa kukopa kwa ajili ya miradi kama SGR bali tuache kukopa pesa kwa ajili ya miradi isiyo na tija. Kama vile serikali hii inavyokataa mikopo ya aina hiyo kitu kinachowakwaza wakopeshaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika mizigo ya Zambia-Malawi-Tz ni kidogo na haitoshelezi uhitaji wa Tazara? Kwa nini unazungumzia kitu usichofahamu? Sasa kama mzigo ni kidogo, ni kwa nini tusiifumue tukauze chuma chakavu?Mapato kidogo kutokana na mizigo kidogo inayobebwa. Mapato kidogo maana yake ni poor maintenance. Hata kama reli ikijengwa idumu kwa miaka 100, maintenance ikikosekana baada ya miaka michache ufanisi unashuka.
Hao world bank walisema nini walipotembelea ujenzi wa SGR? Msipende kutegemea akili za wazungu nyie watu. Wewe uko na kaupembuzi kao yakinifu uchwara wenzako wamekwisha geuza gia angani wakausifia mradi na kusema wako tayari kuukopesha.Angalia attachment hii kuona tathmini ya World Bank kuhusu SGR na East African Community.
https://africog.org/wp-content/uploads/2017/06/World-bank-Report-on-the-Standard-Gauge-Railway.pdf
View attachment 1417573
Ni kwa nini SGR haitakuja kurudisha pesa? Mradi kama huu, viability yake unaipimaje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao world bank walisema nini walipotembelea ujenzi wa SGR? Msipende kutegemea akili za wazungu nyie watu. Wewe uko na kaupembuzi kao yakinifu uchwara wenzako wamekwisha geuza gia angani wakausifia mradi na kusema wako tayari kuukopesha.
Tatizo la waafrika ni kudhani wazungu ndiyo watu sahihi kutupangia namna ya kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
My friend, ili huo uchumi ukue lazima kuwekeza kwenye miundombinu kama hii ili kuuchochoea. Hauwezi kukaa tu eti usubiri ukue.Ili SGR iwe na tija haina budi kufika nchi jirani ili kuongeza wingi wa mizigo.
Tungejitahidi kukuza uchumi wetu na kuongeza ukusanyaji kodi. Tukiwa na uchumi imara na kipato cha kutosha tunaweza kupata mkopo nafuu wa kujenga network yote ya SGR.