Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Reli hupimwa kwa route length, sio track length..Povu lote la nn, alafu Dar-Moro co km 200 ni zaidi ya km300
Kwa mfano reli ya Kenya huhesabiwa kama 472km , lakini track length ni 609km, kwahivyo vile vile reli ya TZ ni 202km, track length yake ndo hio unayosema ya over 300km