Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Povu lote la nn, alafu Dar-Moro co km 200 ni zaidi ya km300
Reli hupimwa kwa route length, sio track length..

Kwa mfano reli ya Kenya huhesabiwa kama 472km , lakini track length ni 609km, kwahivyo vile vile reli ya TZ ni 202km, track length yake ndo hio unayosema ya over 300km
 
SGR from the hills of Ngong

93794407_685745748855752_4837778654925138890_n.jpg
 
Reli hupimwa kwa route length, sio track length..

Kwa mfano reli ya Kenya huhesabiwa kama 472km , lakini track length ni 609km, kwahivyo vile vile reli ya TZ ni 202km, track length yake ndo hio unayosema ya over 300km
Lete ushahidi kwamba sgr from Dar to Moro ni 202km.
 
Alafu ucseme reli ya Tz, sema reli ya Tz ya sgr from Dar to Moro, reli ya sgr ya Tz ni ndefu sana mzee inaanzia Dar to Mwanza [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii ndo shida ya kujadiliana na watu ambao wanajisahau sahau, si ni wewe ndo ulieka hii 👇comment ukiongelea kuhusu Dar-Moro

Povu lote la nn, alafu Dar-Moro co km 200 ni zaidi ya km300

Dakika chache baadae ushajisahau tunaongelea kuhusu Dar-Moro unatafuta ukumbushwe tena tunaongelea kuhusu nini?

Na maka unataka kua technical, Nchi ilio iko na SGR hapa EAC kwa sasa ni Kenya pekee, Dar haina SGR inayofanya kazi kwa sasa, full stop!
 
Lete ushahidi kwamba sgr from Dar to Moro ni 202km.
Yani umekua ukirusha mdomo hapa na hata haujui vipimo vya reli yenu, Nyi watanzania mna shida sana, know facts before you open your mouth!

1593527829519.png

1593528367162.png

1593529255312.png

Kwahivyo kesho ukiona mtanzania mwenzako bado anadai eti Dar-Moro ni over 300km mwambie its only 205km , hio over 300km ni ukchanganya track length yote ambayo imejumlisha loop lines(ili treni mbili ziweze kupishana), branch lines za kwenda vituo vya mizigo, abiria..etc
 
Yani umekua ukirusha mdomo hapa na hata haujui vipimo vya reli yenu, Nyi watanzania mna shida sana, know facts before you open your mouth!

View attachment 1493474
View attachment 1493493

View attachment 1493505

Anhaa kumbe co 202km ni 205km pia ikikamilika itafika 1231km aisee ndefu sn comparing with Kenya sgr which is only around 400km[emoji122][emoji122]
 
Yani umekua ukirusha mdomo hapa na hata haujui vipimo vya reli yenu, Nyi watanzania mna shida sana, know facts before you open your mouth!

View attachment 1493474
View attachment 1493493

View attachment 1493505

Kwahivyo kesho ukiona mtanzania mwenzako bado anadai eti Dar-Moro ni over 300km mwambie its only 205km , hio over 300km ni ukchanganya track length yote ambayo imejumlisha loop lines(ili treni mbili ziweze kupishana), branch lines za kwenda vituo vya mizigo, abiria..etc
track length SGR Phase I ni 300 km! kuna parallel track of around 95 km to allow the trains to bypass each other! Pia SGR Phase II there is over 86 km of a parallel line too!
SGR Dar-Morogoro-Dodoma-Makutupora_page-0001.jpg

SGR Dar-Morogoro-Dodoma-Makutupora_page-0002.jpg

https://news.kotra.or.kr/common/extra/kotranews/globalBbs/383/fileDownLoad/59645.do

Morogoro - Makutupora Railway
 
Attachments

  • Download.png
    Download.png
    58.6 KB · Views: 2
  • Download.png
    Download.png
    58.6 KB · Views: 2
Magufuli Beaming With Pride Over Tanzania's Railway That Costs Less Than Kenya's SGR

Friptol
1d

President John Pombe Magufuli of Tanzania today visited the contractor building Tanzania's standard gauge railway project to assess the course of the project

During the launch, he revealed that Tanzania had constructed the multimillion project using cash rather than using a loan like his neighbor Kenya did 4 years ago. As reported by East Africa TV, He said the 6.05 trillion Tanzanian shillings (~ Kes 288 billion) was paid using cash and thus said Tanzanians should be very proud of the achievement

"There is no loan used here, we will pay in cash. When you pay in cash, its understandable when you become proud. I thank all leaders who made this project a reality. I further thank security agencies for availing security towards Construction of this project," Loosely translated, Magufuli said

Kenya finalized construction of the standard gauge railway in 2017 with Kenyan taxpayers paying over Ksh 320 billion for the project, almost 35 billion more than what Tanzania has now paid for the project. The kenyan taxpayers are expected to pay over Kes 400 billion more in the subsequent phases of the contentious project

Magufuli further thanked the contractor from Turkey that is doing the project even as he said that he had never imagined a project of such magnitude happening in Tanzania
 
Reli hupimwa kwa route length, sio track length..

Kwa mfano reli ya Kenya huhesabiwa kama 472km , lakini track length ni 609km, kwahivyo vile vile reli ya TZ ni 202km, track length yake ndo hio unayosema ya over 300km
U make that claim since Mchina hakujenga parallel line ili kuruhusu kupishana!
 
Back
Top Bottom