Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Ile ya Mbagala pesa imetoka wapi?WB bank wanazengua sana na Masharti yao magumu...nawaswas Mwendo kasi ya Gongo la Mboto itakua ya kawaida sana kulinganisha na ya Mbagala yenye flyover mbili...Ht Mwendo kasi ya Kimara wamechangia sana kuivuruga na mashatri yao ktk uendeshaji...wanataka wadictate mpaka ktk uendeshaji...so ht ktk reli bora tukomae na bank ya Africa kuliko WB