komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mlipima lini maiti[emoji23][emoji23][emoji23]Corona vp nayo bado tunaficha [emoji3][emoji3][emoji3]
Anzeni kupima maiti kwanza ndio tujue km ipo au zii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipima lini maiti[emoji23][emoji23][emoji23]Corona vp nayo bado tunaficha [emoji3][emoji3][emoji3]
Uliza huyu hapa muzungu atakujibu [emoji116][emoji116]Mlipima lini maiti[emoji23][emoji23][emoji23]
Anzeni kupima maiti kwanza ndio tujue km ipo au zii
Struggling Gorge bado inameza hela za pension ya wazee, has serious environmental impact na haijatoa ata 1w ya umeme.
For real, corona was just "maji". Ndiyo sababu nchi zilizoipa heshima mpaka leo zinahangaika na malock down na sijui kafyu. Sie tulioichukulia kama maji tu tunaendelea kubleiz. Naamini mnafuatilia kampeni na michezo inayoendelea. Nyomi zinazoibuka bila hata kipande cha badakoda (in Magu tone) ni kiashiria tosha kuwa our plan worked.UMaji maji haujawatoka wadanganyika. From corona sasa magaidi.
mkuu kuna bomba za chuma zinazamishwa mpaka itakapogota kwenye miamba,,,,,,,kisha maji hunyonywa kwa bomba maalumOkay. Au ndiyo zege lilikuwa tayari lishajazwa mpaka pomoni.
Ndio waume zako nn haoUliza huyu hapa muzungu atakujibu [emoji116][emoji116]View attachment 1562036
Komora mpk tukutongoze ndo uwe na heshima au co.Ndio waume zako nn hao
Kichwa kubwa lkn akiliyako ipo miguni.....unaelewa hata mana ya pandemic ww...[emoji706][emoji706][emoji57] 0 brain...dead behind the brainMnakufa ila hamsemi. Kuminya habari Tanzania mnapenda sana.
Ss tukisema utatupatia dawa?[emoji3][emoji3]Mnakufa ila hamsemi. Kuminya habari Tanzania mnapenda sana.
Hii comment yako ni moja kati ya comment ya kijinga zaidi hapa jf.Surrender bridge mfano itakula hela nyingi na impact yake kwa mbongo wa kawaida ni kidogo sana.
Am clearly above comments za emonji, having said that, substantiate ulichosema eti salender bridge ina impact ndogo kwa mtanzania wa kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382] nyinyi wadanganyika hucomment ujinga pekee tangu forum ianze
Utakuwa na manufaa kwa mkenya mana tunategemea kuwauzia umeme ili muondokane na stupid blackouts.Struggling George bado inameza hela za wazee bila kua na miundombinu kabambe ya kusambaza umeme. No power to date na sijui inajengwa ya kufanya nini.
Huu ni mradi mwingine hautakua na manufaa kwa mdanganyika wa kawaida.
Naona wametujibu 👇Apana nahisi apo itakuwa ile ya concrite bridge kama pale gerezani
Naona Ruvu ni km imeisha...safi sanaSGR Dar-Moro August updates
imebidi waharakishe kabla mvua hazijaanza!Naona Ruvu ni km imeisha...safi sana