Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hehehe. Kuna jamaa alikuwa anaitwa joto la jiwe. Jamaa alikuwa anapost picha za bullet train mpaka tunatishika. Lakini deep down nilijua tu hawa Malazy hawawezi kuafford bullet train. Nilijua tu ilikuwa ni sifa za kijinga. Bullet train kama ya Japan (Shikansen) ndio walikuwa wanapost
Walikuwa wanasema kuwa trains zao zitakuwa za aina ya ITX😂😂😂🤣🤣. With the allocation of $60M I won't be surprised if they get trains that are more ugly than the Ethiopian trains😂😂🤣
 
Hehehe and the downgrade continues, from ITX to this. The final product I guess will not be different with the one being used by yeppi to run testing [emoji23][emoji23]
Specs za train zetu ni Korean EMU 150 sasa fanya research yako halafu urudi hapa
 
Kama wanaunda Train kwa kipindi hiki sawa mashaka yapo, ila km ni kwa kipindi cha JPM Train zetu ni motooo calm down, wakenya hamchomoki hapaaa
 
Sasa hii mitungi ya chang'aa ndio mlikuwa mnaturingia?
Kuwa na heshima chizi wewe!
2793413_Screenshot_2021-05-31_at_19.00.49.png

2793412_Screenshot_2021-05-31_at_18.59.50.png

VS

abe88ef9-99f4-4cf2-a0c7-7b94ae522e46.jpeg

SGR-coach-in-Kenya-1024x685-1-768x514.jpg
 
SGR ya Tanzania ni mtihani mkubwa kwa Samia. Imefilisi mifuko yote ya Hifadhi pamoja na fedha za Mashirika ya umma.
Mapato ya Serikali hayatosho kuendeleza mradi kwa wakati.
Mtihani mwengine ni kwamba hii reli haina manufaa yoyote na BANDARI ya Dar !
Shujaa alijenga hii reli ili Wasukuma waje Dar na kurudi Mwanza siku hio hio. Hakufata vision ya kujenga reli mpya ya kuzidisha efficiency ya Port .
SGR awamu ya kwanza Dar- Moro tayari imechelewa kwa miaka 2 sasa. Gharama zake zimeongexeka kwa 35billion ukiwa ni mzigo wa kodi kwa Watanzania.
Wachina Walijenga TAZARA kwa mkopo bila ya Riba na sasa ni miaka 45 bado deni hatujalipa na reli iko hoi.
Tulifeli kununua Ndege bila ya business plan na SGR hakuna Business plan . Miradi yote ni utashiwa mtu mmoja na kwa alivotaka yeye.
Usiku mwema
Hahaha. Halafu JNHPP itazalisha 2,100 MW ilhali Tanzania inaconsume 1,300 MW since independence. Another white elephant.
 
Hahaha. Halafu JNHPP itazalisha 2,100 MW ilhali Tanzania inaconsume 1,300 MW since independence.
Sisi huwa tunatengeneza development plan every 5 years na kuna miradi mingi inaanzishwa ndani ya hiyo miaka 5 kwahiyo mahitaji ya umeme yanajulikana beforehand na ndio maana tunajenga JHPP ya MW 2100 huwa hatukurupuki.

Miradi ya umeme kila kijiji inakamilika mwaka huu mwushoni, LNG, Electric SGR, fertiliser plant in mtwara, Bagamoyo port and industrial park, iron ore mining at mchuchuma

Mahitaji ya umeme bado ni makubwa sana ndio maana tunajenga mapema hatukurupuki tuu
 
kuhusu train mpya. muulizen huyu jamaa yupo korea.. pengine anajua ni aina zipi zinakuja
View attachment 1803484
Kwani kwa sababu yupo Korea Kusini ina maana kwamba amepata nafasi ya kusoma hio contract? Hio reasoning capacity yako iko down sana. Hata Rais Samia sidhani kama amesoma contract hio maana imefichwa kwa usiri mkubwa. Wewe ngojea tu mtungi wa changaa upo njiani soon.
 
kuhusu train mpya. muulizen huyu jamaa yupo korea.. pengine anajua ni aina zipi zinakuja
View attachment 1803484
Hata factory visit hatujaonyeshwa. Wahandisi wa TRC walipoenda Korea Kusini kufanya factory visit mbona hata hamkutupiwa kapicha au kavideo? Najua wameshafanya factory visit ili kutazama ikiwa treni zinajengwa kulingana na specs zilizokubaliwa ila information hio ya factory visit imefichwa kwa usiri mkubwa ili msione jinsi mtungi wa changaa wenu unavyofanana.
 
Sisi huwa tunatengeneza development plan every 5 years na kuna miradi mingi inaanzishwa ndani ya hiyo miaka 5 kwahiyo mahitaji ya umeme yanajulikana beforehand na ndio maana tunajenga JHPP ya MW 2100 huwa hatukurupuki.

Miradi ya umeme kila kijiji inakamilika mwaka huu mwushoni, LNG, Electric SGR, fertiliser plant in mtwara, Bagamoyo port and industrial park, iron ore mining at mchuchuma

Mahitaji ya umeme bado ni makubwa sana ndio maana tunajenga mapema hatukurupuki tuu
Bagamoyo port haitawahi kujengwa. Nakuhakikishia. LNG plant ya $30 billion haitawahi kujengwa. Nakuhakikishia.
 
Treni yenu haiwezi kufanana hivi. $60 million haiwezi kununua treni kama hii. Wacha kuota mchana mzee.
Hiyo train ya 6 compartments gharama yake ni USD 7 million it is cheaper than diesel propelled. Hizo tulizonunua ni chache zianze kazi kwa kipande cha Dar Moro tuu. Sasa piga hesabu USD 60m utapata ngapi? Mzigo mwingine utaongezwa gradually vipande vingine vya reli vikikamilika
 
Treni yenu haiwezi kufanana hivi. $60 million haiwezi kununua treni kama hii. Wacha kuota mchana mzee.
Kama unataka kujua approximate prices fanya hesabu hapo kila EMU unit ni USD ngapi? Nikurahisishie tuu contract ya USD 250 divide by 34 EMU units bei linakuja Dollar ngapi? Hapo nitajua kuwa elimu ya kenya inafanya kazi au najadiliana na chokoraa wa kibera
 
Screenshot_20210601-144638_Opera.jpg
 
Back
Top Bottom