Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #10,861
ipi?Kuna brigde hapo inasiku nyingi aijengwi sijui shida nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipi?Kuna brigde hapo inasiku nyingi aijengwi sijui shida nini
Itasaidia sana,mimi nilijua tu mturuki alikua anacheleweshwa alafu wanatuzuga na mvua sijui nn...anyway wamefika pazuri sana zaidi ya janamama kahaidi kutoa fedha kwa wakati!
Hapo sio ndio nkurumah roadipi?
ila nimeona wamejenga nguzo (piles/piers) na top layer(pile cap) au? Baada ya kuvunja ile waliokosea kujenga!Hapo sio ndio nkurumah road
Hivi hapo lile eneo mwanzo walitaka kuweka cable stayila nimeona wamejenga nguzo na top layer au? Baada ya kuvunja ile waliokosea kujenga!
Sisi hatujengi Sgr kama yenu yetu ni tofauti.sisi tunajenga ya kisasa zaidi Kwa hiyo itachukua muda kidogo.hatujengi reli ya zamani kama Kenya.Huu uzi ufungwe tu maana hakuna haja.
Kenya sgr imekua ikifanya kazi tangu 2017 na imebeba tani milioni kadhaa na abiria millioni kadhaa.
On the other hand, sgr ya tanzania ilidedi na magufooli na haionyeshi dalili za kuisha. 0tonnes carried 0passengers carried. Ni hasara tu.
ndio wataweka na kwenye hiyo gape watapachika zile steel bars za blue!Hivi hapo lile eneo mwanzo walitaka kuweka cable stay
Sasa mbn hazifanani kabisa, nyinyi yenu ni upgraded MGR cc yetu ni electrical SGR, mbingu na ardhi. Hatuwezi kukaa hapa kuongelea SGR Tz na Kenya ni upumbavu.Huu uzi ufungwe tu maana hakuna haja.
Kenya sgr imekua ikifanya kazi tangu 2017 na imebeba tani milioni kadhaa na abiria millioni kadhaa.
On the other hand, sgr ya tanzania ilidedi na magufooli na haionyeshi dalili za kuisha. 0tonnes carried 0passengers carried. Ni hasara tu.
Mataga kizere katika ubora wakeSasa mbn hazifanani kabisa, nyinyi yenu ni upgraded MGR cc yetu ni electrical SGR, mbingu na ardhi. Hatuwezi kukaa hapa kuongelea SGR Tz na Kenya ni upumbavu.
Tanzania hakuna electrical sgr au mfumo wowote wa sgr.Sasa mbn hazifanani kabisa, nyinyi yenu ni upgraded MGR cc yetu ni electrical SGR, mbingu na ardhi. Hatuwezi kukaa hapa kuongelea SGR Tz na Kenya ni upumbavu.
Wivu utakuua wewe nyang'au.Huu uzi ufungwe tu maana hakuna haja.
Kenya sgr imekua ikifanya kazi tangu 2017 na imebeba tani milioni kadhaa na abiria millioni kadhaa.
On the other hand, sgr ya tanzania ilidedi na magufooli na haionyeshi dalili za kuisha. 0tonnes carried 0passengers carried. Ni hasara tu.
Iko wapi hiyo SGR ya Kenya, hebu weka hapa tuione, au ndio ile jointed SGR a.k.a kwichi kwichi SGR, yn upo kwenye treni hata soda haitulii mezani, ndio maana huku tunaiita MGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania hakuna electrical sgr au mfumo wowote wa sgr.
The only country yenye sgr EAC ni Kenya pekee
Tanzania hakuna electrical sgr au mfumo wowote wa sgr.
The only country yenye sgr EAC ni Kenya pekee