Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Our SGR stations can be compared with the best railway stations in the world. That's the meaning of world class, za kwenu zinalinganishwa na vyoo vya machakos county.
Stations zetu zimezingatia mahitaji ya eneo husika, pia stations zetu tumezijenga kulingana na choice zetu Watz na wala co choice ya contractor km nyie mlivyofanyiwa.

Alafu stations ni jambo dogo tu ikihitaji kubadilishwa kwa kufanyiwa renovation au kubomoa kujenga mpya ni jambo dogo na hai cost pesa nyingi na wala hailazimiki kuita watu kutoka nje, lkn SGR system ni ngumu na ni gharama sana kuibadili kuwa mnavyotaka, na hapo ndipo akili ndogo zinapoonekana yn kupiga kelele za stations ambacho ni kitu simple bila kuangalia kitu kigumu mlichoharibu.

SGR sio stations dada bali ni hiyo reli yenyewe na system kwa ujumla. Pole kama umeumia.
 
Venye tu nilikuambia, hauna akili ya kuelewa mambo. Ni system gani ya sgr hiyo akili yako fupi inakuambia tuliacha? Ama kuweka nyaya za umeme ndio inafanya railway to be standard? For your information we only need $4M to electrify our line if in case we would like to do it soon wakati nyinyi you will need more than $20M to demolish and build new train stations. Wewe IQ yako itabaki kuwa ndogo.
 
Hata ukikasirika ila ukweli ni kwamba haitakaa itokee ku compare electrified SGR with diesel SGR, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe, hapa tunalinganisha cost kwasababu mlipigwa pesa nyingi sana tofauti na uhalisia, mana kwa kawaida electrified SGR railway ni lazima iwe expensive kuliko diesel SGR lkn nyie kwasababu hamna akili mkapigwa pesa ndefu kuliko cost ya SGR yetu ambayo ni classic and of International standard.

Na hilo ndilo lengo la muanzisha uzi, soma vzr huu uzi haulinganishi SGR btn urs and ours bali unalinganisha cost baada ya kugundulika mlipigwa.
SGR vs Upgraded MGR [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Venye tu nilikuambia, hauna akili ya kuelewa mambo. Ni system gani ya sgr hiyo akili yako fupi inakuambia tuliacha? Ama kuweka nyaya za umeme ndio inafanya railway to be standard? For your information we only need $4M to electrify our line if in case we would like to do it soon wakati nyinyi you will need more than $20M to demolish and build new train stations. Wewe IQ yako itabaki kuwa ndogo.
Hehehehee unadhani ku electrify reli ni kama ku electrify kibanda chenu cha pale makuru kayaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwamba unaamka tu unaweka nyaya, unajua gharama zake? Ingekuwa hivyo unadhani mngekubali kujengewa diesel SGR? Au unadhani kuna nchi ingekosa electrical SGR? Jaribu siku kumshauri rais wako uone kama hajakujibu hivi;

[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Teargas: Mheshimiwa tu electrify ile reli yetu mkuu

Kenyatta: Kijana wangu teargas hivi unajua gharama ya ku electrify SGR kweli? Zile poles inabidi kuzitandaza njia nzima ya reli, je umepiga hesabu gharama ya cables? Machines za kupoza umeme unadhani zinahitajika ngapi je umepiga hesabu? Experts je umewahasabu watakuwa wangapi? Kijana wangu usitake niolewe mm kwa mikopo wacha hii kazi ije ifanywe na kizazi kijacho, usione Tz wameweza bali ujasiri wa ajabu wa yule mzee wao.

Pia uki electrify reli juwa kwamba hupaswi kuweka mitungi ya chang'aa inabidi uweke vitu vya haja, je umefikiria hilo?
Btw reli yetu ni ya diesel na ilijengwa kuwa hivyo no room kui change kuwa electrical ulisikia wapi hiyo scenario.
 
You are an idiot.
 
Hata ukikasirika ila ukweli ni kwamba haitakaa itokee ku compare electrified SGR with diesel SGR, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe, hapa tunalinganisha cost kwasababu mlipigwa pesa nyingi sana tofauti na uhalisia, mana kwa kawaida electrified SGR railway ni lazima iwe expensive kuliko diesel SGR lkn nyie kwasababu hamna akili mkapigwa pesa ndefu kuliko cost ya SGR yetu ambayo ni classic and of International standard.

Na hilo ndilo lengo la muanzisha uzi, soma vzr huu uzi haulinganishi SGR btn urs and ours bali unalinganisha cost baada ya kugundulika mlipigwa.
Reli yetu inabeba 22m tonnes, yenu 17m tones. Ukweli uongo?
 
Ngoja nikuulize wewe, unadhani SGR ya Kenya na ya Tz ipi quality, jibu km wise man japo inauma, plz usiniambie habari za functional cz nitakuona una inferiority complex[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu anza kwa kunitajia hivyo vigezo ambavyo vinakufanya uone quality kwa reli moja vs reli Nyengine bila kupima lolote.
 
Reli yenu ni kwichi kwichi type a.k.a makelele type [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reli yenu haiezisupport double stack wagons😂😂, reli yenu inabeba less cargo kuliko yet. Wewe utabaki hapa kubweka about electrical wakati in real life no inferior compared na ya Kenya.
 
Geza Ulole msikilize huyu falamanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama anambishia MD wa TRC Masanja Kadogosa sisi tutamsaidiaje? Video ya maelezo ya capacity ya SGR Tanzania ipo humu amesema from 17 mln will be minimum load and 25 will be maximum load!

Update: lot 3 and lot 4 of SGR Dar-Mwanza about to be launched!

MY TAKE
  • 1 km of SGR in another countries in Africa $5-7 mln while in Tanzania is $3.5 mln!
  • Operating costs for diesel SGR is 3 times electrical SGR in general!
  • Tanzania's SGR is way more superior in tonnage capacity to be haulage than other SGR in Africa!
  • Tanzania SGR is faster (120km/h cargo n 160 km/h PAX) than other SGR than other SGRs around Africa (80 km/h cargo n 120 km/h PAX)! AND the speed can be increased to 250 km/h at no cost!
  • Mwanza city to be a logistic hub in the great lakes region, a massive inland depot (the largest in East and central Africa) is to be constructed at Fela in Mwanza city!
 
Unato.mbwa wewe, yn ulinganishe SGR ya Kenya na ya Tz utakuwa ni chizi wa kiwango cha kimataifa.
Hehehe pole kwa maumivu. Ke SGR is designed for 22M tonnes per year while that of Tanzania is 17M tonnes per year.
Our passengers trains are doing 1440 passengers per one way, ya Tanzania Niko sure hata haitafika 800 passengers.
Kenya's SGR supports double stacking, ya Tz can't do such.
Our train stations are much superior than Tz train stations.
 
Ni vzr kujipa moyo ili usije kufa kihoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe pole kwa maumivu. Ke SGR is designed for 22M tonnes per year while that of Tanzania is 17M tonnes per year.
Our passengers trains are doing 1440 passengers per one way, ya Tanzania Niko sure hata haitafika 800 passengers.
Kenya's SGR supports double stacking, ya Tz can't do such.
Our train stations are much superior than Tz train stations.
Dah aiseee yn unaonesha inferiority ya kiwango cha juu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
E5IXc4mWQAsklYo
 
Back
Top Bottom