The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Stations zetu zimezingatia mahitaji ya eneo husika, pia stations zetu tumezijenga kulingana na choice zetu Watz na wala co choice ya contractor km nyie mlivyofanyiwa.Our SGR stations can be compared with the best railway stations in the world. That's the meaning of world class, za kwenu zinalinganishwa na vyoo vya machakos county.
Alafu stations ni jambo dogo tu ikihitaji kubadilishwa kwa kufanyiwa renovation au kubomoa kujenga mpya ni jambo dogo na hai cost pesa nyingi na wala hailazimiki kuita watu kutoka nje, lkn SGR system ni ngumu na ni gharama sana kuibadili kuwa mnavyotaka, na hapo ndipo akili ndogo zinapoonekana yn kupiga kelele za stations ambacho ni kitu simple bila kuangalia kitu kigumu mlichoharibu.
SGR sio stations dada bali ni hiyo reli yenyewe na system kwa ujumla. Pole kama umeumia.