Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operational

See the traffic Young man... Ndio ujue wapi wako busy.

View attachment 2099724
Mombasa poert iko na Channel ambapo meli zinaingia,Its easy for ships to overlap each other on such a radar map.

There are currently 35 Ships in Mombasa port.

1643647720666.png

Alafu Mombasa port currently iko na 21 fully operational berths with berth 22 on course to be completed by May as per the 2015 blueprint

1643648115199.png

Kama unavyyona kutoka google earth, Berth 22 is almost complete, with berth 23 ahead of schedule
tempsnip.png

In fact, juzi tu vifaa vya Berth 22 vilianza kuwasili, Ship-to-shore gantry cranes tatu kati ya 12 ziliwasili Mombasa, Nyengine 9 zitawasili kabla May

1641907633467.jpeg

1642075466299-e1642079711391.jpeg

FCfcayXVsxhqpc5HefW1RHqZ4kjphTJAQdA2PttvnOkmG5Ay2M7P1QXkHV9QtaSiCZQD_tBRvd54vl4HWf4G9HIV-AxE5XwpC2yZqKRFDQ=s750

maxresdefault.jpg

NB: Berth 22 pekee itakua na uwezo wa kupokea kontena 550,000 kwa mwaka... Bandari ya Daresalaam yote ilipokea kontena 700,000 mwaka uliopita, Kwahivyo hii berth 22 inaweza kupokea 73% ya kontena zote za Dar 🤣🤣🤣
 
Mombasa poert iko na Channel ambapo meli zinaingia,Its easy for ships to overlap each other on such a radar map.

There are currently 35 Ships in Mombasa port.

View attachment 2103056

Alafu Mombasa port currently iko na 21 fully operational berths with berth 22 on course to be completed by May as per the 2015 blueprint

View attachment 2103064

Kama unavyyona kutoka google earth, Berth 22 is almost complete, with berth 23 ahead of schedule
View attachment 2103088

In fact, juzi tu vifaa vya Berth 22 vilianza kuwasili, Ship-to-shore gantry cranes tatu kati ya 12 ziliwasili Mombasa, Nyengine 9 zitawasili kabla May

1641907633467.jpeg

1642075466299-e1642079711391.jpeg

FCfcayXVsxhqpc5HefW1RHqZ4kjphTJAQdA2PttvnOkmG5Ay2M7P1QXkHV9QtaSiCZQD_tBRvd54vl4HWf4G9HIV-AxE5XwpC2yZqKRFDQ=s750

maxresdefault.jpg

NB: Berth 22 pekee itakua na uwezo wa kupokea kontena 550,000 kwa mwaka... Bandari ya Daresalaam yote ilipokea kontena 700,000 mwaka uliopita, Kwahivyo hii berth 22 inaweza kupokea 73% ya kontena zote za Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Save your breath lad...

I can see how is still painful in your S finding out that Dar port has higher operations than msa..

There is more than 40+ vessels at Dar port

Halafu acha ujinga wa kuleta blue print za 2015 hapa.. Leta live satellite footage ikionesha meli 21 zikiwa berth. Si umesema zipo?

Screenshot_20220131_205743.jpg
 
Save your breath lad...

I can see how is still painful in your S finding out that Dar port has higher operations than msa..

There is more than 40+ vessels at Dar port

Halafu acha ujinga wa kuleta blue print za 2015 hapa.. Leta live satellite footage ikionesha meli 21 zikiwa berth. Si umesema zipo?

View attachment 2103136
Sasa ushakimbilia kuuliza live satellite image ukijua haiwezi patikana, kwani mi ni NSA/CIA? Typical Tanzanian akishashindwa na facts!

Alafu ata we mwenyewe umeleta ushahidi unaoonyesha vile Una kichwa kibovu, Screen shot ulioleta inasema yenyewe, There are currently 29 Vessels in Dar port. (And you expect 10 more scheduled to arrive)

Screenshot ya Mombasa port inaonyesha 35 vessels currently at the port, (with 24 more expected on schedule)

Sasa how did 29 become 40? Yani hata vitu ambavyo viko clear as day bado unapata njia ya kuleta ushindani..
 
Wakenya hawazijui hizi wanashangaa.
Sema tu kabla hio post ulikua hujawai kusikia wala kuona locomotive kama hio, na hii ndo mara yako ya Kwanza kuiona....
Lakini usianze kufikiria jirani yako Hana kwasababu we umeiona mara ya kwanza, kwani unafikiri reli yetu hufanyiwaje track maintenance ya alignment, track bed, stabilization..etc?
 
Alafu ata we mwenyewe umeleta ushahidi unaoonyesha vile Una kichwa kibovu, Screen shot ulioleta inasema yenyewe, There are currently 29 Vessels in Dar port. (And you expect 10 more scheduled to arrive)

Nenda kaangalie tena hiyo picha uniambie ndio umeona hivyo tu?

Ili nione kama naweza kuendeleza huu mjadala au nikupuuze tu.
 
Sema tu kabla hio post ulikua hujawai kusikia wala kuona locomotive kama hio, na hii ndo mara yako ya Kwanza kuiona....
Lakini usianze kufikiria jirani yako Hana kwasababu we umeiona mara ya kwanza, kwani unafikiri reli yetu hufanyiwaje track maintenance ya alignment, track bed, stabilization..etc?
Mbona mkaanza kupiga kelele kwamba hizo ni treni za umeme?
 
Well, ngoja turudie

Zipo ngapi hapo? At Port.. Recent Arrival na expected Arrivals

View attachment 2104257
Kijana, we ni genius mpaka unachanganya vitu ambavyo vimegawanywa na sababu yake... Eti hivyo ndo ulifikisha 40+ vessels 🤣

Hesabu yote ya "Recent arrivals" iko ndani ya "Vessels in port".... Yani Kati ya hizo 29 vessels, 15 zimewasili hivi karibuni.

Mwanzo lete tovuti uliotumia kupata hii taarifa uone kama Mombasa port haitakua juu zaidi... Najua hautaleta manake utachungulia data ya Mombasa uone imeshinda ya Far!
 
Back
Top Bottom