Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #13,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi wengi wa habari wa Tz ni wapumbavu sn.Hawa nao vipi wanatuonyesha mtambo wa gongo, wakanistua .
SGR ipi hio ambayo haijawai beba ata kilo moja ya mabuyu! Acheni wazimu sometimes. Yani nimepotea miezi kadhaa nikirudi hadithi bado ni za abunuasi tu, still no substance, just empty talksKwani bado kuna Wakenya kwenye hii thread? Na wanaongea kuhusu nn mana suala la SGR tulishamaliza.
Mombasa poert iko na Channel ambapo meli zinaingia,Its easy for ships to overlap each other on such a radar map.Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operational
See the traffic Young man... Ndio ujue wapi wako busy.
View attachment 2099724
Save your breath lad...Mombasa poert iko na Channel ambapo meli zinaingia,Its easy for ships to overlap each other on such a radar map.
There are currently 35 Ships in Mombasa port.
View attachment 2103056
Alafu Mombasa port currently iko na 21 fully operational berths with berth 22 on course to be completed by May as per the 2015 blueprint
View attachment 2103064
Kama unavyyona kutoka google earth, Berth 22 is almost complete, with berth 23 ahead of schedule
View attachment 2103088
In fact, juzi tu vifaa vya Berth 22 vilianza kuwasili, Ship-to-shore gantry cranes tatu kati ya 12 ziliwasili Mombasa, Nyengine 9 zitawasili kabla May
![]()
![]()
![]()
![]()
NB: Berth 22 pekee itakua na uwezo wa kupokea kontena 550,000 kwa mwaka... Bandari ya Daresalaam yote ilipokea kontena 700,000 mwaka uliopita, Kwahivyo hii berth 22 inaweza kupokea 73% ya kontena zote za Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya hawazijui hizi wanashangaa.Brand new Multi Function Vehicle (MFV) for engineering track maintenance and repair. The locomotives are from SMRT Malaysia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
More of MVF from SMRT Malaysia
View attachment 2103757
CC: Arnold mrass cannambo and komora096
Sasa ushakimbilia kuuliza live satellite image ukijua haiwezi patikana, kwani mi ni NSA/CIA? Typical Tanzanian akishashindwa na facts!Save your breath lad...
I can see how is still painful in your S finding out that Dar port has higher operations than msa..
There is more than 40+ vessels at Dar port
Halafu acha ujinga wa kuleta blue print za 2015 hapa.. Leta live satellite footage ikionesha meli 21 zikiwa berth. Si umesema zipo?
View attachment 2103136
Sema tu kabla hio post ulikua hujawai kusikia wala kuona locomotive kama hio, na hii ndo mara yako ya Kwanza kuiona....Wakenya hawazijui hizi wanashangaa.
Alafu ata we mwenyewe umeleta ushahidi unaoonyesha vile Una kichwa kibovu, Screen shot ulioleta inasema yenyewe, There are currently 29 Vessels in Dar port. (And you expect 10 more scheduled to arrive)
Nionyeshe wewe genius manake unaona vitu vyakoNenda kaangalie tena hiyo picha uniambie ndio umeona hivyo tu?
Ili nione kama naweza kuendeleza huu mjadala au nikupuuze tu.
Mbona mkaanza kupiga kelele kwamba hizo ni treni za umeme?Sema tu kabla hio post ulikua hujawai kusikia wala kuona locomotive kama hio, na hii ndo mara yako ya Kwanza kuiona....
Lakini usianze kufikiria jirani yako Hana kwasababu we umeiona mara ya kwanza, kwani unafikiri reli yetu hufanyiwaje track maintenance ya alignment, track bed, stabilization..etc?
Well, ngoja turudieNionyeshe wewe genius manake unaona vitu vyako
Kijana, we ni genius mpaka unachanganya vitu ambavyo vimegawanywa na sababu yake... Eti hivyo ndo ulifikisha 40+ vessels 🤣Well, ngoja turudie
Zipo ngapi hapo? At Port.. Recent Arrival na expected Arrivals
View attachment 2104257