Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

nitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
Mimi mwenyewe uwa na nunua hisa TBL na Sigara. Naiyo nikutokana nakuwa kwangu Mimi Naona yananipa faida. Sasa wewe unatengeneza hasira alafu unataka kuingia DSE nani ata nunua hisa zako. Apo kinachoangaliwa ni faida.
 
Kwani uyo anaongelea kuliweka shirika DSE au kuli privatise?? Pia makampuni uingia DSE kwa malengo yakukuza mtaji... Mashirika ya Serikali yanauwezo wa kupata mtaji direct kutoka Serikalini na ata kukopa kwa dhamana ya serikali. Tatizo uwa ni management na lobbing ya wafanyabiashara kwenye mashirika.
Ubinafsishaji haumaanishi kuliuza shirika la TRC kwa kampuni moja pia kuuza kwa soko la mtaji ambalo litaruhusu kila mwananchi na makampuni na taasisi kumiliki kupitia hisa ni ubinafsishaji pia! Hiyo mitaji direct kutoka serikali ndo hii mikopo ya mabenki ya nje ya kisirisiri ya JPM? Mimi nakupa njia nzuri ya kuilinda TRC nayo ni DSE! Hamna wizi utafanyika kwa kampuni kupitia uendeshaji wake bila wahusika kuhojiwa na kuwajibika refer wakina Prof Humprey Mosha wa NICOL! BTW global companies zoote unazozijua wewe zipo listed!
 
nitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
Shirika kuwa listed ni jambo zuri ila bado mda wake acha kwanza lifanye kazi chini ya uangalizi wa serikali kila mtu anajua the moment hili shirika litakua privatised nauli za abiria na usafirishaji hazitakua ndogo kama tunavyotarajia na huo ndio mwanzo wa hujuma
 
Ofcouse nauli zitakuwa at market rate! Unavyoiamini serikali utafikiri kipindi cha Nyerere makampuni yoote hayakuwa chini ya serikali na kufa kutokana na wizi na mismanagement na kupelekea kubinafsishwa kwa watu binafsi kipindi cha Mkapa kwa vile DSE haikuwepo! Jifunze kidogo hii maneno ndo utajua ni vipi global congrolemates zina-survive! Kama TPA chini ya JPM wakina Koka walikuwa wanaiba sembuse hii TRC? The only sure way ni DSE ambayo inaruhusu public scrutiny ya all financial books za makampuni kwa uwazi si tunakuwa na CAG ambaye anatoa ripoti kwa matakwa ya Rais, akibisha anatumbuliwa!
 
nJZJX5f.jpg

SGR carried 20,952 TEUs of cargo in February 2022, up from 19,911 TEUs in February 2021.

In February this year, an average of 8.3 trains carried more than 698 TEUs per day, and 230 freight trains completed the journey in February 2021.

"This positive performance is also attributable to the ample daily supply of containerized and bulk cargo, with an average supply of 500-600 wagons," Kenya Railways director-general Philip Mainga said in a statement.

In conventional freight, standard gauge rail operator Africa Star Railway Operations delivered 478,719 tonnes of bulk cargo to Nairobi in February 2022, up from 404,928 tonnes in the same period last year.

Mr. Mainga further added that the new line at the Naivasha ICD has facilitated the transfer of goods from standard gauge railway wagons to meter gauge trains, with 14 trains heading to the Naivasha ICD this month, carrying 310 TEUs and with 6,202 tonnes of bulk cargo, the seamless connection of Naivasha inland container cargo from the standard gauge railway to the old meter gauge railway has begun.
 
Cargo De-Consolidation Centre- Nairobi

Ambapo wanabiashara wanaweza kuagizia mizigo kwa pamoja alafu badala ya kulipia nauli ya kusafirisha kontena nzima, unalipishwa kulingana na uzito na/au ukubwa wa mzigo wako hapo ndani ya kontena... Kontena ikifika kila mtu anakuja kuchukua mizigo yake... Kwa kifupi imepunguza sana garama ya kutuma/kuagiza bidhaa nje ya nchi kwa wanabiashara wadogo wadogo kwasababu hawana haja ya kulipia kontena, wanashare garama hio na wengine..

174325902_4217314524967898_2616427349097608913_n.jpg

UxtguhIh.jpg
 
Hii kitu Tanzania ipo zamani sana... Unalipia kwa CBM....
 
SGR shunting train loaded with cargo crossing via Kipevu bridge from Conventional cargo to Kilindini marshaling yard
1647599707228.png
1647599910895.png
 
Hii kitu Tanzania ipo zamani sana... Unalipia kwa CBM....
Hata Kenya ilikueko kwa MGR, lakini SGR ndo ilikua haijawahi kusafirisha mizigo/biashara ya aina hii.
Alafu mbali na hilo, kampuni kadhaa za uchukuzi za kibinafsi zimekua zikitumia mfumo huu tangu kitambo ili kupunguza garama kwa wateja.
 
Back
Top Bottom