Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

IMG_20221025_132856.jpg
 
Hiyo stima kwanza watatoa wapi? Kama saa hii ndio wanafanyiwa power rationing, sasa hiyo kuendesha train without interruption ndio watakuwa nayo?😂😂
🙈no wonder naona mitungi ya changaa pia chini ya hio reli😂diesel???wako pia na back up wameeka hawaamini stima yao😆
Burret train wwe aibu Kweli Kwel😂😂😂😂
 
Mmeanza kupanic..na EMU hazijaingia hayo ni mabehewa tu yanavutwa na engine ya either EMV au whatever..issue ni yakoje ndani..tumeshaona hayo ya 3rd class yako vizuri..so sijui mnbwata nini yani

there will be 2 types of locomotives
EMV ambayo yanavuta mabehewa
EMUs ambazo ni set tayari zenye mabehewa
 
And you still believe in what your politicians told after mmengoja kuona trains since 2019 and finally hizi ndio zimekam?😂😂😂

20221025_192111.jpg
 
Mmeanza kupanic..na EMU hazijaingia hayo ni mabehewa tu yanavutwa na engine ya either EMV au whatever..issue ni yakoje ndani..tumeshaona hayo ya 3rd class yako vizuri..so sijui mnbwata nini yani

there will be 2 types of locomotives
EMV ambayo yanavuta mabehewa
EMUs ambazo ni set tayari zenye mabehewa
Reli yetu ianze kufanya kazi kwanza mengine ni rahisi sana!
 
TV ziko hadi kwa Matatu za Nairobi so acha kuturingia vitu vya ufala wewe🤣🤣😂
  1. SGR Tanzania kuna TV with 2 screens front and back, kwenye garimoshi ya Kunyaland hamna TV!
  2. SGR Tanzania kuna armrest SGR Kunyaland hamna!
  3. SGR Tanzania pia kila seat ina kameza cha kula kwa nyuma ukiacha meza katikati kwa seats zinazoangaliana na pia bottle hanger wakati SGR Kunyaland ina meza katikati tu!
  4. Madirisha ya coaches za SGR Tanzania yako wide, sealed (meaning ndani full kiyoyozi) na yana modern drop down window shades, SGR Kunyaland kuna pazia la kitambaa!
  5. SGR Tanzania ina first aid and safety kits enclosed in a shattered glass Kunyaland linyundo la safety kit linaning'inia wakati first aid kit haionekani!
  6. SGR Tanzania ina automatic sliding transparent glass doors with sensors at both ends of the coaches wakati SGR Kunyaland ina manual metal door with glass window!

Ff7GZ7FWQAEyDlq

Ff7QFxSX0AEUudH

vs

Listen to nginjanginja noisy at the background

Esy7ZkvWMAIYkwC

E_ASmmFWEAISTlC

MY TAKE
Wakunya wacheni kujidanganya! As far as amenities and comfortability are concerned, SGR Tanzania coaches beat by far SGR Kunyaland coaches!
 
Back
Top Bottom