Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hata wewe naona unashangaa sana na unafuatilia kila hatua; au vipi?😎siku ya kulipanda si atavua viatu kabisa. nimemshangaa sana huyo jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe naona unashangaa sana na unafuatilia kila hatua; au vipi?😎siku ya kulipanda si atavua viatu kabisa. nimemshangaa sana huyo jamaa.
nawashangaa mnavyowehuka na mambo ambayo sisi kwetu tumeshayazoea hadi tumeyachokaHata wewe naona unashangaa sana na unafuatilia kila hatua; au vipi?😎
Kama umechoka mbona kila siku unafuatilia; wewe nyang'au vipi mbona hueleweki?😎nawashangaa mnavyowehuka na mambo ambayo sisi kwetu tumeshayazoea hadi tumeyachoka
ndio nimekwambia huwa nawashangaa sana nyinyi viumbe. kwani munaishi dunia gani tofauti na sisi ?Kama umechoka mbona kila siku unafuatilia; wewe nyang'au vipi mbona hueleweki?😎
Wewe nyang'au wa kibongo unachekesha kweli kweli😎ndio nimekwambia huwa nawashangaa sana nyinyi viumbe. kwani munaishi dunia gani tofauti na sisi ?
View attachment 3020992
That Kenya with filthy dirty Nairobi without water n electricity!ndio nimekwambia huwa nawashangaa sana nyinyi viumbe. kwani munaishi dunia gani tofauti na sisi ?
View attachment 3020992
Mbona timu za mpira hamlalamiki? Hao akina Bakhresa, Mo na GSM ni watanzania na wana haki ya kuwekeza kama akina BoniYai na Mdude😎😎
😂😂😂 kibwengo kweli ww. kila kitu kwako ni sawa tuMbona timu za mpira hamlalamiki? Hao akina Bakhresa, Mo na GSM ni watanzania na wana haki ya kuwekeza kama akina BoniYai na Mdude😎😎
Na wewe ni kibwengo kweli; kila kitu kwako hakipo sawa😎😂😂😂 kibwengo kweli ww. kila kitu kwako ni sawa tu
uliona alichokifanya MO kwenye klabu ya Simba???Na wewe ni kibwengo kweli; kila kitu kwako hakipo sawa😎
Yaani wewe huchoki tu kuokoteza mtandaoni?
tatizo hutaki kuambiwa ukweli. wenzako wote walishakubaliana na mm hivi sasa wamebaki kutizama tu. wanajua vizuri kabisa kua ni muda ndio utakao amua. naona ww ndio bado umebaki kushupalia shingoYaani wewe huchoki tu kuokoteza mtandaoni?
Kamanda huchoki kuokoteza?tatizo hutaki kuambiwa ukweli. wenzako wote walishakubaliana na mm hivi sasa wamebaki kutizama tu. wanajua vizuri kabisa kua ni muda ndio utakao amua. naona ww ndio bado umebaki kushupalia shingo
View attachment 3021897
kalie mbali sana na mmKamanda huchoki kuokoteza?