Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

'Sisi' ni ww na nani?
tuma hapa picha ya hio Tanzania Sgr Freight Locomotive nataka kuiona.
wacha vituko.
Baada ya kugundua locomotives zenyu zina horsepower kiduchu! Mchina aliwachamba madole kwelikweli! 😀 😀 👍 👍
 
mpango mzima 👇
Esway-nXYAEN1Gx.jpeg
 
Hapa uhakika wa kuifikisha malaba Bado hawana.
By the time wanaanza ujenzi sisi tutakuwa tunaunganisha na rwanda
Juzi EAC Secretary General mkenya kaomba po anasema EAC tusishindane humu ndani bali tushirikiane.
Kila nchi inafanya jitihada za kuboresha mazingira ya biashara sasa kwa mtazamo wake na wa wakunya wengi wao wanaona kama competition yaani ukishagusa kwenye maslahi yao wao tayari ni competition 🤣🤣🤣🤣
 
'Sisi' ni ww na nani?
tuma hapa picha ya hio Tanzania Sgr Freight Locomotive nataka kuiona.
wacha vituko.
Hizo zinazovuta pasengers coaches ndio hizohizo za mizigo. Hii haina shida kwasababu tunatumia electricity moja kwa moja. Zingekuwa za diesel ndio kungekuwa na pasengers locomotives na goods locomotives engine ya pasengers ingekuwa ndogo ili ku save gharama.
 
Juzi EAC Secretary General mkenya kaomba po anasema EAC tusishindane humu ndani bali tushirikiane.
Kila nchi inafanya jitihada za kuboresha mazingira ya biashara sasa kwa mtazamo wake na wa wakunya wengi wao wanaona kama competition yaani ukishagusa kwenye maslahi yao wao tayari ni competition 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 yaani unachekesha sana kwa stories zako za kutunga.
 
Juzi EAC Secretary General mkenya kaomba po anasema EAC tusishindane humu ndani bali tushirikiane.
Kila nchi inafanya jitihada za kuboresha mazingira ya biashara sasa kwa mtazamo wake na wa wakunya wengi wao wanaona kama competition yaani ukishagusa kwenye maslahi yao wao tayari ni competition 🤣🤣🤣🤣
angeulizwa CoW ilianzishwa na nani?
 
Back
Top Bottom