Hao wakenya kuhusu usafiri wa reli mnapigizana nao kelele za bure tu.Na hii hapa 👇 ya MGR inavuta behewa 100 na speed yake ni 120kph
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakenya kuhusu usafiri wa reli mnapigizana nao kelele za bure tu.Na hii hapa 👇 ya MGR inavuta behewa 100 na speed yake ni 120kph
Kweli kabisa 😁Hao wakenya kuhusu usafiri wa reli mnapigizana nao kelele za bure tu.
Hapana mkuu MGR hizo haziendi speed ya hio mkuu.speed yake ni 120kph
Hio sio MGR ni NGR narrow gauge.Hapana mkuu MGR hizo haziendi speed ya hio mkuu.
Treni la abilia lenyewe linaenda 70kph ndo mwisho wake.
Yani ya mizigo iende 120kph. Kwa MGR hapana.
120kph ni SGR ya mizigo ndo itakuwa Speed yake.
Na haivuti behewa 100 ya mizigo.
Angalia video hii chini
Inavuta behewa kama 41 hivi. Tena vinasaidiana na vichwa viwili na sio kimoja , locomotive zote mbili vimewashwa.
View: https://www.facebook.com/share/v/Cf8SpPJ3Dn9aj8Ez/?mibextid=11tuMg
MGR na NGR ni kitu kimoja!Hio sio MGR ni NGR narrow gauge.
Ni kweli speed ya hizo egine ni 120kph.
Hizo ni zile zilzizoletwa mara ya mwisho ambazo zina hose power kubwa kuliko za mwanzo na zina uwezo wa kuvuta mabehewa mengi zaidi.
Na ile ya abiria speed yake ya mwisho sio 70kph umedanganya.
Zile zina uwezo wa kwenda hadi 140kph.
Ila kwasababu ya uchakavu wa reli wakaweka kikomo kwisho 80kph sio 70kph.
Wewe ndio umeongopa mkuu.
Ni tofauti mkuu.MGR na NGR ni kitu kimoja!
Si kweli Tanzania haina reli ya 760 mm! Nashangaa umetoa wapi! Reli ya Kati NGR ni 1 m ndo maana inaotwa Meter Gauge Rail! ni 1,067 mm!Ni tofauti mkuu.
Narrow gauge width yake haiwezi kuzidi 760mm.
Meter gauge width yake lazima igote 1000mm.
Hiyo 1067 si cape gauge hiyo kaka!?Si kweli Tanzania haina reli ya 760 mm! Nashangaa umetoawapi! Reli ya Kati NGR ni 1 m ndo maana inaotwa Meter Gauge Rail! ni 1,067 mm!
Kila kitu kipo online!Hiyo 1067 si cape gauge hiyo kaka!?
Ila sawa ngojea nifuatilie zaidi tusiandikie mate angali wino upo.
Nitatizama na kurudi.Kila kitu kipo online!
Waneshatandika reli mpya yenye uzito mkubwa toka Dar mpaka Isaka continuous welded na speed has improved alot.Hapana mkuu MGR hizo haziendi speed ya hio mkuu.
Treni la abilia lenyewe linaenda 70kph ndo mwisho wake.
Yani ya mizigo iende 120kph. Kwa MGR hapana.
120kph ni SGR ya mizigo ndo itakuwa Speed yake.
Na haivuti behewa 100 ya mizigo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chuma hii hapa na hapo mbele number yake ya utambulisho imeandikwa horse power.
Hii inavuta behewa 200 na inafunga 2km long train.
connect me to your plug 😂Na hii hapa 👇 ya MGR inavuta behewa 100 na speed yake ni 120kph
endeleeni kudanganyana 😂😂Kweli kabisa 😁
bumbumbu hilo. linadhani likiandika maneno mengi ndio linatoa pointi nyingi kumbe ni uharo wa bata. nlishamsoma zamani sana, hajui lolote. yupo na ajenda zake anataka kuzipitisha humu lakini namkwepa.MGR na NGR ni kitu kimoja!
source?Waneshatandika reli mpya yenye uzito mkubwa toka Dar mpaka Isaka continuous welded na speed has improved alot.
Mkandarasi yuko site kwa kipande cha Tabora mpanda pia.