Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

speed yake ni 120kph
Hapana mkuu MGR hizo haziendi speed ya hio mkuu.
Treni la abilia lenyewe linaenda 70kph ndo mwisho wake.
Yani ya mizigo iende 120kph. Kwa MGR hapana.

120kph ni SGR ya mizigo ndo itakuwa Speed yake.
Na haivuti behewa 100 ya mizigo.
 
Hio sio MGR ni NGR narrow gauge.
Ni kweli speed ya hizo egine ni 120kph.
Hizo ni zile zilzizoletwa mara ya mwisho ambazo zina hose power kubwa kuliko za mwanzo na zina uwezo wa kuvuta mabehewa mengi zaidi.
Na ile ya abiria speed yake ya mwisho sio 70kph umedanganya.
Zile zina uwezo wa kwenda hadi 140kph.
Ila kwasababu ya uchakavu wa reli wakaweka kikomo kwisho 80kph sio 70kph.
Wewe ndio umeongopa mkuu.
 
MGR na NGR ni kitu kimoja!
 
Si kweli Tanzania haina reli ya 760 mm! Nashangaa umetoawapi! Reli ya Kati NGR ni 1 m ndo maana inaotwa Meter Gauge Rail! ni 1,067 mm!
Hiyo 1067 si cape gauge hiyo kaka!?
Ila sawa ngojea nifuatilie zaidi tusiandikie mate angali wino upo.
 
Hapana mkuu MGR hizo haziendi speed ya hio mkuu.
Treni la abilia lenyewe linaenda 70kph ndo mwisho wake.
Yani ya mizigo iende 120kph. Kwa MGR hapana.

120kph ni SGR ya mizigo ndo itakuwa Speed yake.
Na haivuti behewa 100 ya mizigo.
Waneshatandika reli mpya yenye uzito mkubwa toka Dar mpaka Isaka continuous welded na speed has improved alot.
Mkandarasi yuko site kwa kipande cha Tabora mpanda pia.
 
Chuma hii hapa na hapo mbele number yake ya utambulisho imeandikwa horse power.
Hii inavuta behewa 200 na inafunga 2km long train.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
unaniangusha sana aisee....!
 
MGR na NGR ni kitu kimoja!
bumbumbu hilo. linadhani likiandika maneno mengi ndio linatoa pointi nyingi kumbe ni uharo wa bata. nlishamsoma zamani sana, hajui lolote. yupo na ajenda zake anataka kuzipitisha humu lakini namkwepa.
hebu cheki hapa 👇
IMG_20240830_191311.jpg
 
Back
Top Bottom