Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂Huwa ukikosa point unakuja tu kuvuruga mada!?kama kawa, kama dawa 😂😂
View attachment 3082954
Dogo ajali zipo kila maeneo duniani .Tujikumbushe kidogo... katika moja ya ajali mbaya zaidi kuwahi kutokea kwenye taifa hili 👇👇👇
View attachment 3081693
Huyo ni zumbukuku alijua hatuna details za kwao. Baada ya kumletea za kwao kapotea anacomment kwa kuvuziaDogo ajali zipo kila maeneo duniani .
![]()
Fatality Reported, Several Injured After Train Accident
St John Ambulance noted that it had received reports of several casualties.www.kenyans.co.ke
![]()
Investigators say poor track conditions caused a 2021 Amtrak derailment in Montana that killed three
A derailment of an Amtrak train in Montana that killed three people in 2021 was caused by a poor track conditions at the accident site, federal investigators said in a final report.apnews.com
Hapo umedhihirisha kuwa wewe ni mjinga wa kwanza kabisa kwa kutengeneza gazeti lako la Mwananchi. Mwananchi hawajawahi kuandika ujinga huo.😁😁😁 rudia tena, hamuna nn?
View attachment 3082213
kama kawa, kama dawa 😂😂
View attachment 3082954
kama kawa, kama dawa 😂😂
View attachment 3082954
Yani wewe ndo umedanganya.Hio sio MGR ni NGR narrow gauge.
Ni kweli speed ya hizo egine ni 120kph.
Hizo ni zile zilzizoletwa mara ya mwisho ambazo zina hose power kubwa kuliko za mwanzo na zina uwezo wa kuvuta mabehewa mengi zaidi.
Na ile ya abiria speed yake ya mwisho sio 70kph umedanganya.
Zile zina uwezo wa kwenda hadi 140kph.
Ila kwasababu ya uchakavu wa reli wakaweka kikomo kwisho 80kph sio 70kph.
Wewe ndio umeongopa mkuu.
Nimeviaona sana mara nyingi tuu. Hata kushida weweUmewahi kuviona vikisafirisha mizigo bro!??
Hapo kwani ipo safarini ama station au whatever!?
MGR na NGR ni kitu kimoja!
Narrow gauge ndo standard gauge boss
Mkandarasi alikuwa CRRC kutoka china, walikuwepo na wapo tangu mda sana.Waneshatandika reli mpya yenye uzito mkubwa toka Dar mpaka Isaka continuous welded na speed has improved alot.
Mkandarasi yuko site kwa kipande cha Tabora mpanda pia.
Narrow gauge ni meter gauge.Narrow gauge ndo standard gauge boss
Aaah wapi mimi mtoto wa reli nimetembea nayo sana hiyo reli.Nimeviaona sana mara nyingi tuu. Hata kushida wewe
Umeongea hueleweki unaongea nini.Yani wewe ndo umedanganya.
Yani ni ulivyosema ni sawa na
Tanzania tuna SGR ya design speed 160km/h.
Afu tulete train ya Kichina inayoitwa "CR400AF" ambayo ipo indoneshia inajulikana kwa jina la "Whoosh" high speed train iliyotengenezwa na
"CRRC Qingdao Sifang Co., Ltd. Kutoka Shandong province" ambayo inatembea speed ya 450km/h.
View attachment 3083094
Hafu hio treni tuilete hapa TZ kwenye SGR yetu , kisha useme treni yetu inatembea kwa speed 450km/h.
Afu ujitete kwa kusema treni inaspeed hio ila reli yetu ya SGR design yake inakubali 160km/h.
Afu kwa hakina Meter gauge railway tena kwa treni ya mizigo iende ya speed ya 120km/h hii ni ngumu kwa hakika. Tena hata ikirekebishwa hii ikaweka mpya. Tena ipitishwe humo humo Tena, mmmm ni ngumu kwenda speed ya 120km/h Tena ya mizigo. Sasa kama behewa 41 zinasaidiana na vichwa kingine.
Mkandarasi alikuwa CRRC kutoka china, walikuwepo na wapo tangu mda sana.
Angalia video hio
View: https://youtu.be/H5jUdyBAprQ?si=xdp_oGSkpSno24om
Wanarekebisha reli kutoa speed 35km/h to 70km/h.
Mwanzoni kabla ya marekebisho ilikuwa ni 35km/h.
Hio video ni 5yrs ago
Sasa onyesha evidence ya narrow gauge Tanzania! Haipo!
Sasa mbona hujuiAaah wapi mimi mtoto wa reli nimetembea nayo sana hiyo reli.
Basi uko misinformed.
Maana umeleta misinformation.
Nimewaekeeni nyie mnaobishanaSasa onyesha evidence ya narrow gauge Tanzania! Hairpo!
Sijui mimi hujui wewe!?Sasa mbona hujui
Tunajitahidi kukuelewasha sio nje ya mada, maana una kichwa kigumu.Umeongea hueleweki unaongea nini.
Wachana na standard gauge umeenda nje ya mada turudi hapa kwenye MGR.