Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nitatizama na kurudi.
kama kawa, kama dawa 😂😂
IMG_20240825_182935.jpg
 
Tujikumbushe kidogo... katika moja ya ajali mbaya zaidi kuwahi kutokea kwenye taifa hili 👇👇👇
View attachment 3081693
Dogo ajali zipo kila maeneo duniani .

Dogo ajali zipo kila maeneo duniani .

Huyo ni zumbukuku alijua hatuna details za kwao. Baada ya kumletea za kwao kapotea anacomment kwa kuvuzia
 
Hio sio MGR ni NGR narrow gauge.
Ni kweli speed ya hizo egine ni 120kph.
Hizo ni zile zilzizoletwa mara ya mwisho ambazo zina hose power kubwa kuliko za mwanzo na zina uwezo wa kuvuta mabehewa mengi zaidi.
Na ile ya abiria speed yake ya mwisho sio 70kph umedanganya.
Zile zina uwezo wa kwenda hadi 140kph.
Ila kwasababu ya uchakavu wa reli wakaweka kikomo kwisho 80kph sio 70kph.
Wewe ndio umeongopa mkuu.
Yani wewe ndo umedanganya.
Yani ni ulivyosema ni sawa na
Tanzania tuna SGR ya design speed 160km/h.
Afu tulete train ya Kichina inayoitwa "CR400AF" ambayo ipo indoneshia inajulikana kwa jina la "Whoosh" high speed train iliyotengenezwa na
"CRRC Qingdao Sifang Co., Ltd. Kutoka Shandong province" ambayo inatembea speed ya 450km/h.
600px-CR400AF-2031_at_Shoupakou_(20180506093817).jpg

Hafu hio treni tuilete hapa TZ kwenye SGR yetu , kisha useme treni yetu inatembea kwa speed 450km/h.
Afu ujitete kwa kusema treni inaspeed hio ila reli yetu ya SGR design yake inakubali 160km/h.

Afu kwa hakina Meter gauge railway tena kwa treni ya mizigo iende ya speed ya 120km/h hii ni ngumu kwa hakika. Tena hata ikirekebishwa hii ikaweka mpya. Tena ipitishwe humo humo Tena, mmmm ni ngumu kwenda speed ya 120km/h Tena ya mizigo. Sasa kama behewa 41 zinasaidiana na vichwa kingine.
 
Waneshatandika reli mpya yenye uzito mkubwa toka Dar mpaka Isaka continuous welded na speed has improved alot.
Mkandarasi yuko site kwa kipande cha Tabora mpanda pia.
Mkandarasi alikuwa CRRC kutoka china, walikuwepo na wapo tangu mda sana.
Angalia video hio

View: https://youtu.be/H5jUdyBAprQ?si=xdp_oGSkpSno24om

Wanarekebisha reli kutoa speed 35km/h to 70km/h.
Mwanzoni kabla ya marekebisho ilikuwa ni 35km/h.
Hio video ni 5yrs ago
 
Yani wewe ndo umedanganya.
Yani ni ulivyosema ni sawa na
Tanzania tuna SGR ya design speed 160km/h.
Afu tulete train ya Kichina inayoitwa "CR400AF" ambayo ipo indoneshia inajulikana kwa jina la "Whoosh" high speed train iliyotengenezwa na
"CRRC Qingdao Sifang Co., Ltd. Kutoka Shandong province" ambayo inatembea speed ya 450km/h.
View attachment 3083094
Hafu hio treni tuilete hapa TZ kwenye SGR yetu , kisha useme treni yetu inatembea kwa speed 450km/h.
Afu ujitete kwa kusema treni inaspeed hio ila reli yetu ya SGR design yake inakubali 160km/h.

Afu kwa hakina Meter gauge railway tena kwa treni ya mizigo iende ya speed ya 120km/h hii ni ngumu kwa hakika. Tena hata ikirekebishwa hii ikaweka mpya. Tena ipitishwe humo humo Tena, mmmm ni ngumu kwenda speed ya 120km/h Tena ya mizigo. Sasa kama behewa 41 zinasaidiana na vichwa kingine.
Umeongea hueleweki unaongea nini.
Wachana na standard gauge umeenda nje ya mada turudi hapa kwenye MGR.
Uchakavu wa reli unaweza ukasababisha chombo kisiende mwendo unaohitajika.
Reli yetu ilikua chakavu mpaka ilipobadilishwa na kuruhusu mwendo unaohitajika.
Ni sawa na Diesel locomotives za Kenya zina uwezo wa zaidi ya speed ya 140kmph.
Ila standard gauge yao ni jointed railway,na jointed railway hairuhusu mwendo kasi wa kiasi hicho.
Kuhusu standard gauge nenda kasome specification zake inaruhusu mwendo mpaka wa kiasi gani.
Kama tungetaka kupata za mwendo wa zaidi ya 180kmph tungepata na zingefanya kazi kwasababu reli yetu inaruhusu zaidi ya speed ya 180 kwasababu ya specification zake.

Kwa akili zako unadhani hivyo vichwa viwili vinavutana kutoka Dar - Isaka!??😂😂😂😂😂😂
 
Mkandarasi alikuwa CRRC kutoka china, walikuwepo na wapo tangu mda sana.
Angalia video hio

View: https://youtu.be/H5jUdyBAprQ?si=xdp_oGSkpSno24om

Wanarekebisha reli kutoa speed 35km/h to 70km/h.
Mwanzoni kabla ya marekebisho ilikuwa ni 35km/h.
Hio video ni 5yrs ago

Sasa hapo unazungumzia specification ya reli inaruhusu mwendo wa kiasi gani,huzungumzii specification ya chombo ama engine.
Engine ina uwezo wa kutembea zaidi ya hiyo speed ila reli inaruhusu speed gani!?
 
Back
Top Bottom