Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hafu Wachina wanaIhitaji Sana hii Reli Kwa ajiri ya kusafirisha Mizigo toka Congo na Zambia hasa Copper.

Walitakiwa waitengeneze Kwa Kiwango Cha SGR.
kwani Tazara pia inafika Congo? jaribu kua realistic kidogo... Wachina wanaikwepa sana Sgr kwa maana wanajua wazi inaenda kufa kifo cha mende!
 
kwani Tazara pia inafika Congo? jaribu kua realistic kidogo... Wachina wanaikwepa sana Sgr kwa maana wanajua wazi inaenda kufa kifo cha mende!
Tazara inapita jirani na congo ni rahisi kupeleka mizigo to the nearest pick up point. Na pia Zambia na Congo wana expand network yao ya reli to link up with Tazara.
 
hii mitumba itafika lini bandarini?
Hii habari mmeandika kwa wivu na chuki. Eti discarded! Haya yalikuwa yanafanya kazi vyema sana na tumenunua 30 wagins and locomotives kwa bei nafuu na tumezifanyia ukarabati mkubwa.

Acheni wivu kwenye vyombo vya habari mnavyomiliki

Yaani watu hawaogopi kukaa na kujifananisha na Tanzania?😂

Reli ina so many type of cars and locomotives, EMU achilia mbali Reli ni Ndefu kulilo midomo ya Wakundustan 😂 ikielekea kuunganisha nchi kibao.
Hapo hujaongelea TAZARA pia inayounganisha hadi South Africa, yaani watu hawaogopi kabisa? Kweli kuna mafuvu mabovu😂

Kiufupi hatufanani na Mbwa yoyote ukanda huu 😂 Happy weekend.
 
Zambia na Congo wana expand network yao ya reli to link up with Tazara.
wacha tuone 👇
 
kwani Tazara pia inafika Congo? jaribu kua realistic kidogo... Wachina wanaikwepa sana Sgr kwa maana wanajua wazi inaenda kufa kifo cha mende!
Ni rahisi kuitoa Mizigo toka Congo mpaka Zambia, kuliko kutoa Mizigo Congo mpaka Dar es salaam Kwa Barabara.
 
Hii habari mmeandika kwa wivu na chuki. Eti discarded! Haya yalikuwa yanafanya kazi vyema sana na tumenunua 30 wagins and locomotives kwa bei nafuu na tumezifanyia ukarabati mkubwa.

Acheni wivu kwenye vyombo vya habari mnavyomiliki
unamlilia nani sasa?
IMG_20240907_205147.jpg

IMG_20240907_204859.jpg

IMG_20240907_205111.jpg
 
Back
Top Bottom