Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #18,901
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endelea kujizima data tu. hakuna ufanisi wowote hapo. kila kitu mumepigwaTumepigwa na nani!?
Nini maana ya kupingwa!?
Yani ukitizama reli yetu ufanisi na reli yenu vinafanana!??
😂😂😂😂😂😂Wacha kula miraa.
Treni yetu na yenu ipi ina kasi zaidi!?endelea kujizima data tu. hakuna ufanisi wowote hapo. kila kitu mumepigwa
kasi halafu uende ukwame porini masaa sita. hapo kuna ufanisi gani sasa?Treni yetu na yenu ipi ina kasi zaidi!?
Ipi ina comfortability haina mitikisiko!?
Nasubiri hayo majibu hapo.
Well maintained wapi!?kasi halafu uende ukwame porini masaa sita. hapo kuna ufanisi gani sasa?
kisha nilikwambia uache kukariri vitu usivyovijua, railway tracks zinakua well maintained na hutasikia kelele wala mtikisiko.
ww subiri kwanza msimu wa mvua kubwa ukija tujue mbivu na mbichi, usiwe na pressure 😁😁.
View attachment 3152532
katikati ya nini?Mvua zimenyeesha hapa katikati Tena mvua za maana hususan Morogoro,mbona hatukuona reli ikisombwa na maji!?
Umejisahaulisha maeneo yaliyopitishwa hiyo reli sio maeneo ya kutwaama maji,ni maeneo kavu na yaliyoinuka kidogo.
😂😂Na ni kweli ni kalawavati maana hali yake ni hii mkuu👇
View attachment 3024013
Shida unaropoka sana hadi unajisahau.katikati ya nini?
reli yenu ina miezi mbili tu. bado sana nyie.... ninachojua mm ni kwamba kuna misimu miwili ya mvua ambazo ni long rains na short rains. sasa hii long rains huwa inakuja around mwezi wa tatu, nne, tano hapo.
hebu cheki hapa Kivukoni, Gongo La Mboto, nyuma ya sokoni, unadhani hio culvert waliijenga hapo kimakosa kama hawakufikiria kuhusu uwepo wa maji 👇
View attachment 3152789
View attachment 3152790
😁😁😁Shida unaropoka sana hadi unajisahau.
Nani amekwambia mvua kubwa ni miezi hiyo ya pili hadi ya tano!?
Pole sana kijana.
Masika TZ zipo za aina mbili msimu wa mwanzo na mwisho mwa mwaka.
Asikusumbue sana huyo kamanda. Watu wameshamzoea😁Masika TZ zipo za aina mbili msimu wa mwanzo na mwisho mwa mwaka.
Hata mimi nimeshaanza kumzoea.Asikusumbue sana huyo kamanda. Watu wameshamzoea😁
wacha kujichanganya wewe. au pengine labda hujui Masika ni nini.Masika TZ zipo za aina mbili msimu wa mwanzo na mwisho mwa mwaka.
kwamba mnapata wakati mgumu sana humu??? 😂😂😂Asikusumbue sana huyo kamanda. Watu wameshamzoea😁
unajua nini maana ya Masika?Hata mimi nimeshaanza kumzoea.
Wewe kamanda hujielewi kuwa ni kichekesho?😁kwamba mnapata wakati mgumu sana humu??? 😂😂😂
Hivi mimi mswahili nisijue maana ya masika!?unajua nini maana ya Masika?