Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tumepigwa na nani!?
Nini maana ya kupingwa!?
Yani ukitizama reli yetu ufanisi na reli yenu vinafanana!??
😂😂😂😂😂😂Wacha kula miraa.
endelea kujizima data tu. hakuna ufanisi wowote hapo. kila kitu mumepigwa
 
Treni yetu na yenu ipi ina kasi zaidi!?
Ipi ina comfortability haina mitikisiko!?
Nasubiri hayo majibu hapo.
kasi halafu uende ukwame porini masaa sita. hapo kuna ufanisi gani sasa?
kisha nilikwambia uache kukariri vitu usivyovijua, railway tracks zinakua well maintained na hutasikia kelele wala mtikisiko.
ww subiri kwanza msimu wa mvua kubwa ukija tujue mbivu na mbichi, usiwe na pressure 😁😁.
IMG_20241107_115739.jpg
 
View attachment 3152532
Well maintained wapi!?
Yani jointed rail isipige kelele!?
Wacha uwendawazimu.
Kukwama ni kawaida ya mifumo,hiki ni kitu kipya kwetu Wacha tukitazamie Hadi pale tutapokua na ufanisi wa kukiendesha.
Jana nimesafiri kwenda Dodoma na Kurudi na sijakwama.
Je wewe unaweza itumia Sgr yenu ya Kenya Kwa go and return Mombasa-Nairobi!?
😂😂😂😂😂😂😂Labda usubiri Kurudi kesho.
Mvua zimenyeesha hapa katikati Tena mvua za maana hususan Morogoro,mbona hatukuona reli ikisombwa na maji!?
Umejisahaulisha maeneo yaliyopitishwa hiyo reli sio maeneo ya kutwaama maji,ni maeneo kavu na yaliyoinuka kidogo.
 
katikati ya nini?
reli yenu ina miezi mbili tu. bado sana nyie.... ninachojua mm ni kwamba kuna misimu miwili ya mvua ambazo ni long rains na short rains. sasa hii long rains huwa inakuja around mwezi wa tatu, nne, tano hapo.
hebu cheki hapa Kivukoni, Gongo La Mboto, nyuma ya sokoni, unadhani hio culvert waliijenga hapo kimakosa kama hawakufikiria kuhusu uwepo wa maji 👇
20240623_154453.jpg

20240623_154450.jpg
 
katikati ya nini?
reli yenu ina miezi mbili tu. bado sana nyie.... ninachojua mm ni kwamba kuna misimu miwili ya mvua ambazo ni long rains na short rains. sasa hii long rains huwa inakuja around mwezi wa tatu, nne, tano hapo.
hebu cheki hapa Kivukoni, Gongo La Mboto, nyuma ya sokoni, unadhani hio culvert waliijenga hapo kimakosa kama hawakufikiria kuhusu uwepo wa maji 👇
View attachment 3152789
View attachment 3152790
Shida unaropoka sana hadi unajisahau.
Nani amekwambia mvua kubwa ni miezi hiyo ya pili hadi ya tano!?
Pole sana kijana.
 
Back
Top Bottom