Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

🤣🤣🤣
IMG_20241123_204750.jpg
 
Hujakosea kabisa ni kweli reli ya sasa wafanyakazi wake wana hali ngumu sana.
Na hili alilisababisha Mkapa tangu abinafsishe hili shirika.
Kipindi cha Magufuli hali ilianza kurudi sawa ila sasa hivi kunatibuka tena.
Nina ndugu wanaohudumu reli na mzee wangu amestaafia hapo relini miaka kama miwili au mitatu iliyopita.
Ila inasemekana wasimamizi mathalan mameneja,wakurugenzi ndio wanawabana sana wafanyakazi na kuwanyonya sana.
Sasa mkuu kwa mwendo huo hata hao wafanyakazi wao watakua na morali kweli au ndio Punda afe mzigo ufike.

Kuna jamaa yangu aliingia pale mwaka juzi ila kila tukionana analalamika tu na kutaka kuhama.
Wawalipe wafanyakazi wao vizuri otherwise hapo mradi utakua bora liende tu na maana morali ndogo sana za wafanyakazi wao
 
ivi mabehewa ya ghorofa mbona ayajaanza kazi mpaka leo wakati ndo ya kwanza kufika shida ni nini
 
Back
Top Bottom