Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wewe endelea tu😎
wacha nikusaidie 😁😁👇
IMG_20241205_232437.jpg


naona wadau wamegoma hata kupiga picha wakiwa ndani 👇
IMG_20241206_181804.jpg


hebu cheki maneno 😁😁😁👇
GTG_8ynXsAA4cs-.jpeg


and the food is 😽👌
GaPEVjyXoAIwvbA.jpeg


pole sana dogo kwa mateso unayoyapitia 😂😂😂
IMG_20241208_094911.jpg
 
And that story I quoted is from the official page of the STAR😁
hizi story zinakua za uongo kila siku. tangu 2020 walishasema tunanyang'anywa Port lakini wapi?
Kenya hatushindwi kulipa deni na historia inasema hatujawai samehewa deni!
 
Back
Top Bottom