Could this be it?....................

Mbu.........kwa maelezo ya Dada ni kuwa walishawahi kutoka mara nyingi tu......lakini hawajawahi kugusana. Sasa hapa siwezithibitisha kama ni kweli au la ingawa nahisi kama kuna ya ziada vile!!....

au dini ya mkaka inamuwezesha kuoa mke wa pili?
 
kwa hiyo ni kama huyu kaka alioaga tu ilimradi kuziba gap coz ampendae alikuwa mbali nae kwa wakati huo(ulaya)...cjui kama Mj1 nimekupata vzr ndio mana nilikuwa nasita kuchangia.

...heri Nyamayao umeliuliza hivyo, maana kwa mujibu wa maelezo ya Mwj1 hapa;

Mbu.........kwa maelezo ya Dada ni kuwa walishawahi kutoka mara nyingi tu......lakini hawajawahi kugusana. Sasa hapa siwezithibitisha kama ni kweli au la ingawa nahisi kama kuna ya ziada vile!!....

...kunaacha maswali machache ya nyongeza, kwani watu wazima tushagundua kinachoendelea hapa.
 
au dini ya mkaka inamuwezesha kuoa mke wa pili?

................nyamayao siku hizi hakuna cha kuruhusiwa na dini tena yaani kama ni dini basi siku hizi kila mtu ni mwislamu maana haya yanafanyw ana wakristo kabisa. Dini ya huyu bwana haimruhusu wake zaidi ya mmoja.

Nyamayao kumbuka kuwa dada yake MJ1 ameolewa pia TWO WRONGS CANT MAKE IT RIGHT.

The Finest........Dada alizaa tu hakubahatika kuolewa
 
hapana Mwj1, huko tulishapita nikakuelewa vizuri tu.
Nazungumzia kilio cha jana huko faraghani...

Huyu kaka anataka iweje?...haiwezekani mtu mzima alie tu bila kusema alilo nalo moyoni.
Anakusudia kumuoa, au wawe wanaibia penzi tu?

...............Mbu mi ctaki............yaani najaribu kumpigia picha yule mbaba jamani akiwa analia hivi..sometimes nahisi kama dada kaongeza chumvi kwenye hadithi yake!......Mwe
 
Reactions: Mbu
 
Samahani wakuu, nlikuwa nimetoka kidogo.

Kwahiyo mmekubaliana kuwa jamaa liendelee kulia au dadake mj1 aligawie kitumbua ili dume lisiendelee kulia?

Nimemkumbuka TX Moshi (RIP) ghafla........."ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo"
 
...mnh, nahisi karibia utatupatia jibu lakini mimi nataka kwanza uniambie kama ahadi za huyo kaka zinatekelezeka au la. Anataka kumuoa (iwe bomani, au kimila?) au lengo lake wawe wanaibia tu?
 
Heheheheeee ni bora ukae tu hivyo hivyo bila kujua kuwa unaibiwa. Lakini jua kuwa uwezekano wa kuibiwa upo tena mkubwa tu maana uaminifu wa mtu kwenye ndoa au mahusiano ni siri yake moyoni!

Mkuu hilo tunalijua saaaana. Nilishawahi kusema hapa hapa kwenye uwanja huu huu kuwa mimi binafsi naishi kwa kanuni ya imani. Kwamba siibi na wala siibiwi. Kwa mwendo huo nimejipa chanjo ya ugonjwa wa moyo. Au unasemaje mkuu?
 
You are in marriage and you chasing someone for 13 years na machozi juu ahaaa this is purely usanii at its best kweli watu hawaheshimu NDOA zao.
 
...............Mbu mi ctaki............yaani najaribu kumpigia picha yule mbaba jamani akiwa analia hivi..sometimes nahisi kama dada kaongeza chumvi kwenye hadithi yake!......Mwe

kwamba huamini kuwa mwanaume anaweza kulia juu ya penzi?..hapo ni wewe kuchekecha kama ni lia ya kisanii/kimapenzi...mpaka uje uchekeche na kujua ukweli hapo utaomba uwe bado hujachekechwa..
 
ha ha ah ah ahaa kuna watu wana strategy nzito bana! yani jamaa kadondosha chozi kabisa likaonekana?

duuuh nahisi huyo dada atakua kifaa cha haja
 
...mnh?! sijui ni mimi au na nyie mmehisi chochote?

Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu MwanajamiiOne, anakosa majibu mepesi
kwenye kesi nyepesi kama hii. MwanajamiiOne,... Si kila kilio kinamaanisha Uchungu.

Nyamayao nawe hebu punguza maswali bana, maswali yako yamekuwa magumu mno kwa Mwj1 bana.
Let's have a break.
 
Samahani wakuu, nlikuwa nimetoka kidogo.

Kwahiyo mmekubaliana kuwa jamaa liendelee kulia au dadake mj1 aligawie kitumbua ili dume lisiendelee kulia?

Nimemkumbuka TX Moshi (RIP) ghafla........."ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo"

yaani wewe na hiozo signs zako....khaaa
 
Samahani wakuu, nlikuwa nimetoka kidogo.

Kwahiyo mmekubaliana kuwa jamaa liendelee kulia au dadake mj1 aligawie kitumbua ili dume lisiendelee kulia?

Nimemkumbuka TX Moshi (RIP) ghafla........."ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo"

ha ha ha ahaaa mkuu labda ungetupa kwanza wazo lako! tehe
 
Aisee hili sredi bado halijafikia steji ya kugeuzwa kuwa chat room?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…