................nyamayao siku hizi hakuna cha kuruhusiwa na dini tena yaani kama ni dini basi siku hizi kila mtu ni mwislamu maana haya yanafanyw ana wakristo kabisa. Dini ya huyu bwana haimruhusu wake zaidi ya mmoja.
tuachie mbali machozi...dada alishawahi kumuuliza huyu kaka kama wanataka wawe wapenzi wa namna gani?nyumba ndogo yake?sioni sababu ya kujichosha hivyo huyo kaka ni nn? naona na dada nae yupo kama huruma inamkaribia kisa katoa machozi, angemuuliza maswali kadhaa yenye uzito huyu kaka acngemsumbua tena dada coz sioni sababu ya huu uhusiano kujirudia wakijua kabisa ni furahisha mwili....