Counter attack......Yasikukute

Counter attack......Yasikukute

Binti mpaka sasa mawazo tele na machozi kibao, lakini jamaa ana furaha kupita kiasi.........Kumbe kumbembeleza kote ilikuwa ni njama ya kulipa kisasi.

Kumbe ulikuwa hujui

My take: Huu mchezo alioufanya jamaa si mzuri.
[/QUOTE]

Nilikuwa sijui....Jamaa alitaka "kuuwa" kimyakimya..pengine aliogopa tutamkataza
 
Aisee mimi nna roho ya kulipa kisasi sana .....ukinifanya nkapata maumivu kwa namna yoyote ile lazima nihakikishe na wewe nakutia maumivu siku moja.......sasa huyo mdada si anasura nzuri?.....aende sokoni akaiuze sasa!

Duuh..............!!
 
Mtambuzi nimezaliwa mrima Kiswahili na kunga zake lzinanipa tabu..ufafanuzi tafadhali
platozoom ...Maumbile ni tabia ya asili ya kiumbe

Sisi kama viumbe tuna tabia za asili ambazo tumezaliwa nazo, mojawapo ya tabia hizo za asili ni nguvu ya kila tunachokifanya hapa duniani. Ni kama kupanda mbegu, ukipanda maharage utavuna maharage na ukipanda ubaya utavuna ubaya na ukipanza uzuri utavuna uzuri
Kama binti alikuwa na haki ya kumuacha yule bwana kwa sababu ya kuepuka shari alikuwa sahihi, na kitendo cha yule bwana kujirudi ili amkomoe ni sawa na kutega mwiba ili umchome mwenyewe.
Kama yule binti alimtendea ubaya yule bwan, basi yule bwana alitakiwa ayaache maumbile yafanye kazi yake lakini kitendo cha kulipiza, vile vile ni sawa na kujitegea mwiba.

Naamini sasa umeelewa

"Mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani"

Swadakta nimekuelewa Mtambuzi, hapo kwenye red nimejifunza..Hata mimi huwa sipendi kumfanyia mtu ubaya...Niko hivyo, ila kuna binadamu hata umkwepe vipi "atakutafuta" tu...wana hila sana hawa. Mwishoe moyo unakufa ganzi.

"Kisokula mlimwengu,sera nale"
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijui....Jamaa alitaka "kuuwa" kimyakimya..pengine aliogopa tutamkataza[/QUOTE]

Afadhali sasa umejua....Kuuwa kimyakimya iko kama kujisaidia kichocholoni full mautamu
 
Wakati mwingine maumbile yanachelewa Mtambuzi.....wacha tutendane wenyewe kwa wenyewe bila kusubiri afu siku moja maumbile yatafanya kazi yake!
sweetlady ukilazimisha ndio hapo, inakula kwako, maumbile hayafanyi kazi kwa kuamrishwa......................
 
Last edited by a moderator:
platozoom hapo kwa sasa ni pagumu maana huyu jamaa nia yake ya kumbembeleza arudiane naye ilikuwa sio kwa mapenzi tena ila kwa ajili ya kulipiza kisasi

Na ameshalipiza kisasi chake kurudiana tena hapo kwa kweli ni pagumu

Kurudiana hapo ni ngumu labda kama wakirudiana iwe na ndoa moja kwa moja vinginevyo haiwezekani itakuwa kama picha ya kuigiza. Ila kuna haja mahusiano ya boyfriend na girlfriend yasiwe ya muda mrefu sana maana kupenda ni mara moja hivyo mkikaa ktk urafiki miezi kadhaa mnatangaza nia.
 
Swadakta nimekuelewa Mtambuzi, hapo kwenye red nimejifunza..Hata mimi huwa sipendi kumfanyia mtu ubaya...Niko hivyo, ila kuna binadamu hata umkwepe vipi "atakutafuta" tu...wana hila sana hawa. Mwishoe moyo unakufa ganzi.

"Kisokula mlimwengu,sera nale"

Haya kaka, pamoja daima....

Duh, hiyo maneno kwenye bold ni chiboko.............
 
Back
Top Bottom