sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Safi sana
Tena sanaaaaaaaaaaaaaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana
[/QUOTE]
Binti mpaka sasa mawazo tele na machozi kibao, lakini jamaa ana furaha kupita kiasi.........Kumbe kumbembeleza kote ilikuwa ni njama ya kulipa kisasi.
Kumbe ulikuwa hujui
My take: Huu mchezo alioufanya jamaa si mzuri.
Aisee mimi nna roho ya kulipa kisasi sana .....ukinifanya nkapata maumivu kwa namna yoyote ile lazima nihakikishe na wewe nakutia maumivu siku moja.......sasa huyo mdada si anasura nzuri?.....aende sokoni akaiuze sasa!
platozoom ...Maumbile ni tabia ya asili ya kiumbeMtambuzi nimezaliwa mrima Kiswahili na kunga zake lzinanipa tabu..ufafanuzi tafadhali
platozoom ...Maumbile ni tabia ya asili ya kiumbe
Sisi kama viumbe tuna tabia za asili ambazo tumezaliwa nazo, mojawapo ya tabia hizo za asili ni nguvu ya kila tunachokifanya hapa duniani. Ni kama kupanda mbegu, ukipanda maharage utavuna maharage na ukipanda ubaya utavuna ubaya na ukipanza uzuri utavuna uzuri
Kama binti alikuwa na haki ya kumuacha yule bwana kwa sababu ya kuepuka shari alikuwa sahihi, na kitendo cha yule bwana kujirudi ili amkomoe ni sawa na kutega mwiba ili umchome mwenyewe.
Kama yule binti alimtendea ubaya yule bwan, basi yule bwana alitakiwa ayaache maumbile yafanye kazi yake lakini kitendo cha kulipiza, vile vile ni sawa na kujitegea mwiba.
Naamini sasa umeelewa
"Mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani"
platozoom hapo kwa sasa ni pagumu maana huyu jamaa nia yake ya kumbembeleza arudiane naye ilikuwa sio kwa mapenzi tena ila kwa ajili ya kulipiza kisasi
Na ameshalipiza kisasi chake kurudiana tena hapo kwa kweli ni pagumu
Swadakta nimekuelewa Mtambuzi, hapo kwenye red nimejifunza..Hata mimi huwa sipendi kumfanyia mtu ubaya...Niko hivyo, ila kuna binadamu hata umkwepe vipi "atakutafuta" tu...wana hila sana hawa. Mwishoe moyo unakufa ganzi.
"Kisokula mlimwengu,sera nale"
Tena vizuri sana andybird314
Ntake radhi platozoom .....vinginevyo nareport abuse lol:teeth: