Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Hahahahaaa we jidanganye tu kiwatengu
Hupati kitu
 
Last edited by a moderator:
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"
uuuwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hapa naomba mwongozo......
hii kweli halali jamani?
eti Bishanga uliitisha na kapo za malesb???????????
tutake radhi mdogo wangu.....
at lest mimi najijua ni very straight.....
sijui mwenzangu sakapal kama ni mteja wa haya makitu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa sasa naanza kutambua rasmi couple za JF na ndio ntaanza mchakato wa kubadili ushindi wangu ikibidi
 
Last edited by a moderator:
sikutegemea kabisa shemeji yangu Madame B kuwa anaweza kunifanyia hivyo, mwanzo aliniomba eti waende nae kutembea masikini Evelyn saalt wangu akawa kazoea huko

Mkeo ndio kababaika na vijana wa jukwaa la wakubwa.
Nao wakamsogeza.
 
Last edited by a moderator:
Naam FP kapo zote ruksa kushiriki wawe straight, genge la anti bilali,malesbo.......wote ruksa......cc kiboko ya majukwaa hatumung'unyi hapa tunafyatuka tu.
 
Last edited by a moderator:
Naam FP kapo zote ruksa kushiri wawe straight, genge la anti bilali,malesbo.......wote ruksa......cc kiboko ya majukwaa hatumung'unyi hapa tunafyatuka tu.
sasa kwani ambao ni straight wanaweza ingine kwenye kundi la malesbo?
hapa mimi naomba mdogo wangu Erickb52 aniombe msamaha tu kabla moto haujamuwakia......
shem wako teja akipita hapa patakuwa hapatoshi ujue
 
Last edited by a moderator:
Erickb52,
yeye Evelyn Salt ndio aliyetuomba tukamtembeze kwa wakubwa, nasi kwa kuwa hatuna hiyana tukamkaribisha.
Na alipofika kule Kimbweka akamdaka.
Sasa mie ningefanyaje kaka!
Mkubwa hachungwi.
Sema kule kuna raha zake aisee
Ni pazuri sana aisee
Nataka mi na Chocs tuhamie zetu kule
 
Last edited by a moderator:
sasa kwani ambao ni straight wanaweza ingine kwenye kundi la malesbo?
hapa mimi naomba mdogo wangu Erickb52 aniombe msamaha tu kabla moto haujamuwakia......
shem wako teja akipita hapa patakuwa hapatoshi ujue

Of course FP ma dc/ac ( bi) wapo......hao nao ruksa ila kati ya KE na ME washindanishwe na patna mmoja tu.
 
Last edited by a moderator:
Yatakushinda,unaongea utafikiri umewekewa redio mdomoni.
Yakianza kushinda watu yataanza na wewe
Kila kona unatongoza tu na ole wako ujisogeze kwa Chocs lazma nikuvimbishe masaburi uanze DODOMA-SINGIDA DODOMA -SINGIDA Hahahahaaa kitu wowowooooo
 
Last edited by a moderator:
sasa kwani ambao ni straight wanaweza ingine kwenye kundi la malesbo?
hapa mimi naomba mdogo wangu Erickb52 aniombe msamaha tu kabla moto haujamuwakia......
shem wako teja akipita hapa patakuwa hapatoshi ujue
Ndio uache kumwendekeza Bishanga atakuharibia kwa sakapal na ukizubaa anakufanya matusi ooooh chezeya muhaya wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…