Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

hivi nikufanyie nini wewe unielewe na kujua kuwa lady hapendi nini na anapenda nini kwanini unakuwa na utitiri wa wake nisiowajua humu mjengoni kwanini unanitenda hivyo kwann unanicheat kiasi hicho, kwanini unakuwa mtu wa aina hiyo mbona home hauonekani hivyo unakuwa mstaarabu sana na mtu asiyependa nishike simu yako hata inapoita kwa nguvu kwanini laikini nimekukosea nn mpaka unakuwa na nyumba ndogo kiasi hicho? bora nirudi kwetu nahisi nitaambukizwa new.jpghaa jua naumia juu yako na siwezi sahau penzi lako.
Kaka Erickb52 naona unantafuta uchokozi na wake zangu wagombane ( ladyfurahia, vivian, Catherine na huyu mpya Mrembo by Nature)

...Sitaki kuwepo kwenye mashindano haya infakti kwa sababu hii ningeomba kuteuliwa kuwa mratibu mkuu wa mashindano haya.

Ama lasivyo unipambanishe na kina Madame B & Chimbuvu, Ben Saanane, Mjeda et al kwenye Best JF SACCOS couple.

Si unajua hata kwenye NECTA huwa wanatangaza matokeo kwa shule zenye watahiniwa chini ya 45 na zaidi ya 45...

Baada ya kusema haya, naomba ku-appeal..

Cc: Ruttashobolwa
 
uuuwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hapa naomba mwongozo......
hii kweli halali jamani?
eti Bishanga uliitisha na kapo za malesb???????????
tutake radhi mdogo wangu.....
at lest mimi najijua ni very straight.....
sijui mwenzangu sakapal kama ni mteja wa haya makitu
Erickb52 tafadhali popote ulipo kanusha hayo maneno yako, mie na FP wapi na wapi. Tena usije ukanigombanisha na soul mate wangu akajua nimeanza tabiua mbaya, dushe zilivyo tamu hivyo ya nini niwe lesb...?
Kapo yangu mie ni soul mate wangu popote alipo aje pls maana huyu Erickb52 anataka changanya madawa looh
 
Last edited by a moderator:
hiyo zawadi naomba unipe mm na Excellent kwani naona sasa huyu mbaba amezidi kuwa na wake wengi humu mjengoni ninyoshe mikono juu Mratibu wa shindano hili sema suuuu! au niombe UTARATIBU KWANZA?
Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner

Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!

Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu

"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 tafadhali popote ulipo kanusha hayo maneno yako, mie na FP wapi na wapi. Tena usije ukanigombanisha na soul mate wangu akajua nimeanza tabiua mbaya, dushe zilivyo tamu hivyo ya nini niwe lesb...?
Kapo yangu mie ni soul mate wangu popote alipo aje pls maana huyu Erickb52 anataka changanya madawa looh
sasa teja akiikuta hii je?
si anataka wengine hapa tufungiwe jf?
mana teja ana wivu ni balaa..... hapa anafwatilia kila post yangu....
dogo Erickb52 please, njoo ukanushe kabla sijapotea jf
 
Last edited by a moderator:
Hili neno
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"
linamfaa zaidi Mentor kwani amezidi kuwa na wake lukuki na kunipa stress mwenzake sijiiui nimekosea nini kama kuna jambo si aniambie faragha kuliko kuorodhesha majike wake humu ndani ameniboa na kuniuzi sana
hiyo zawadi naomba unipe mm na Excellent kwani naona sasa huyu mbaba amezidi kuwa na wake wengi humu mjengoni ninyoshe mikono juu Mratibu wa shindano hili sema suuuu! au niombe UTARATIBU KWANZA?
 
Last edited by a moderator:
my cousin charminglady nisaidie mm naona nirudi kwetu Mwanza kwani naona hii ndoa ishanishinda bora nimrudie Excellent wangu sijui kama yuko tena yaani upendo wangu wote ninaounesha kwa shemejio Mentor imekuwa naambulia sufuri kwani ameanza kuanika majike wake hapa mjengoni nifanyeje best kwani nina uja......... wake? niende kulipoti USTAWI WA JAMII ?
 
Last edited by a moderator:
Ndio uache kumwendekeza Bishanga atakuharibia kwa sakapal na ukizubaa anakufanya matusi ooooh chezeya muhaya wewe

mmmmh aisee sikujua kama watu wanaruhusiwa kufanya hv, mods tafadhali siombi ban kwa Erickb52 ila nataka akanushe na arekebishe usemi wake otherwise kweli hata mie mwenyewe sitasubiria kuachika kwa soul mate wangu kwa ajili ya kashfa za Erickb52, ntaingia kati na bukta na zitapigwa ndondi za kufa mtu hapa ooohooooo, haya usijesema hukupewa nafasi ya kurekebisha.
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa FP hebu kerebisha usemi huu fasta!
my wee sakapal nini kinaendelea hapa kabla sijamwita pacha wangu SnowBall
sema nini kinaendelea hapa!
umeamua kumtolea chambavu pacha wangu kwa ajili ya solumeti wako nimenyamaza,
sasa ni nini hiki kinaeednelea hapa!
 
Last edited by a moderator:
Ndio uache kumwendekeza Bishanga atakuharibia kwa sakapal na ukizubaa anakufanya matusi ooooh chezeya muhaya wewe
Erickb52 umekunywa ngapi leo!
unajua umegusa maslahi yangu kwa kiasi kikubwa sana!
hizi kashfa dhidi ya mke wa kakangu sakapal na dadangu FP zinatokea wapi!
nakusue muda si mrefu! EMT nina kesi!
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa FP hebu kerebisha usemi huu fasta!
my wee sakapal nini kinaendelea hapa kabla sijamwita pacha wangu SnowBall
sema nini kinaendelea hapa!
umeamua kumtolea chambavu pacha wangu kwa ajili ya solumeti wako nimenyamaza,
sasa ni nini hiki kinaeednelea hapa!
Huyu mdogo wako naona ana maneno balaa hebu muite aje afunguke
 
Erickb52 umekunywa ngapi leo!
unajua umegusa maslahi yangu kwa kiasi kikubwa sana!
hizi kashfa dhidi ya mke wa kakangu sakapal na dadangu FP zinatokea wapi!
nakusue muda si mrefu! EMT nina kesi!
Hahahahaaa unajua ndovu za lunch time huwa tamu sana snowhite yan moja tu inamaliza memory yooote
 
Last edited by a moderator:
mmmmh aisee sikujua kama watu wanaruhusiwa kufanya hv, mods tafadhali siombi ban kwa Erickb52 ila nataka akanushe na arekebishe usemi wake otherwise kweli hata mie mwenyewe sitasubiria kuachika kwa soul mate wangu kwa ajili ya kashfa za Erickb52, ntaingia kati na bukta na zitapigwa ndondi za kufa mtu hapa ooohooooo, haya usijesema hukupewa nafasi ya kurekebisha.
Hahahahaaa labda nikazie tu kauli ila muhusika Bishanga anajua ni namna gani nimekutahadharisha
 
Last edited by a moderator:
sasa teja akiikuta hii je?
si anataka wengine hapa tufungiwe jf?
mana teja ana wivu ni balaa..... hapa anafwatilia kila post yangu....
dogo Erickb52 please, njoo ukanushe kabla sijapotea jf
Hahahahaa FP nitakanushaje ukweli?
Kama kuna zawadi ya ban niko tayari ila sifuti kauli
 
Last edited by a moderator:
Hili neno
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"
linamfaa zaidi Mentor kwani amezidi kuwa na wake lukuki na kunipa stress mwenzake sijiiui nimekosea nini kama kuna jambo si aniambie faragha kuliko kuorodhesha majike wake humu ndani ameniboa na kuniuzi sana
Hahahahaaaa dada yangu ladyfurahia ni kweli hili neno linamfaa sana mumeo maana hajatulia hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom