ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mungu awasemehe kwani hamuujui mlitendalo sisemi sana mie nisije haribu mchuzi tu hapa kaka nawe umekuwa hivyo oky
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa jua naumia juu yako na siwezi sahau penzi lako.
Kaka Erickb52 naona unantafuta uchokozi na wake zangu wagombane ( ladyfurahia, vivian, Catherine na huyu mpya Mrembo by Nature)
...Sitaki kuwepo kwenye mashindano haya infakti kwa sababu hii ningeomba kuteuliwa kuwa mratibu mkuu wa mashindano haya.
Ama lasivyo unipambanishe na kina Madame B & Chimbuvu, Ben Saanane, Mjeda et al kwenye Best JF SACCOS couple.
Si unajua hata kwenye NECTA huwa wanatangaza matokeo kwa shule zenye watahiniwa chini ya 45 na zaidi ya 45...
Baada ya kusema haya, naomba ku-appeal..
Cc: Ruttashobolwa
Erickb52 tafadhali popote ulipo kanusha hayo maneno yako, mie na FP wapi na wapi. Tena usije ukanigombanisha na soul mate wangu akajua nimeanza tabiua mbaya, dushe zilivyo tamu hivyo ya nini niwe lesb...?
I warned you.....mara oh karibu narudi bongo nikija Madame B tubanjuke,utalijua jiji ,akishakausha hicho kiATM chako cha Lloyds ndo utajua umeingia bongo.
Kopi: CHAI CHUNGU
Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner
Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!
Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu
"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!"
sasa teja akiikuta hii je?Erickb52 tafadhali popote ulipo kanusha hayo maneno yako, mie na FP wapi na wapi. Tena usije ukanigombanisha na soul mate wangu akajua nimeanza tabiua mbaya, dushe zilivyo tamu hivyo ya nini niwe lesb...?
Kapo yangu mie ni soul mate wangu popote alipo aje pls maana huyu Erickb52 anataka changanya madawa looh
hiyo zawadi naomba unipe mm na Excellent kwani naona sasa huyu mbaba amezidi kuwa na wake wengi humu mjengoni ninyoshe mikono juu Mratibu wa shindano hili sema suuuu! au niombe UTARATIBU KWANZA?
Erickb52 umekunywa ngapi leo!
Huyu mdogo wako naona ana maneno balaa hebu muite aje afunguke
Hahahahaaa labda nikazie tu kauli ila muhusika Bishanga anajua ni namna gani nimekutahadharishammmmh aisee sikujua kama watu wanaruhusiwa kufanya hv, mods tafadhali siombi ban kwa Erickb52 ila nataka akanushe na arekebishe usemi wake otherwise kweli hata mie mwenyewe sitasubiria kuachika kwa soul mate wangu kwa ajili ya kashfa za Erickb52, ntaingia kati na bukta na zitapigwa ndondi za kufa mtu hapa ooohooooo, haya usijesema hukupewa nafasi ya kurekebisha.
Hahahahaaaa dada yangu ladyfurahia ni kweli hili neno linamfaa sana mumeo maana hajatulia hata kidogoHili neno"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!linamfaa zaidi Mentor kwani amezidi kuwa na wake lukuki na kunipa stress mwenzake sijiiui nimekosea nini kama kuna jambo si aniambie faragha kuliko kuorodhesha majike wake humu ndani ameniboa na kuniuzi sana
Acha Ngono,UKIMWI unaua!"