Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Shemeji wa kambo umemaliza. Yaani hii tume ya uchaguzi ya nyinyiemu kabisaaaa!

Sie tunapenda hatuangalii zawadi wala mashauzi yenu hapa

Mndele nakuangalia tu hapa.
Ndo mjanja wangu huyo hapa mjini.
 
matokeo yamechakachuliwa
1.haiwezekani Erickb52awe mshiriki na hapohapo mratibu
2.mratibu kacheza faulo kunipora Kipipi wangu katika mazingira tatanishi kwani alishapigwa chini ila ametumia cheo cha uratibu kujimilikisha kwa nguvu

kutokana na maelezo hayo hapo juu tunatangaza kupinga matokeo na tunaomba uchaguzi urudiwe na mratibu awe Bishanga .

Azimio la kurudiwa kwa uchaguzi lisipotekelewzwa tutafanya maandamano JF ambayo yataanzia chit chat kuelekea barabara ya MMU tutaweka kambi ndogo pale halafu tutaendelea na kuishia love connect tutakapofanya mkutano mkubwa wa hadhara
Swadakta mwananthropolojia......una akili sana wewe.
Btw umenionea wapi Judgement?
 
Last edited by a moderator:
Naomba umwambie Shemejio Mentor mm uvumilivu umenishinda narudi kwetu Arusha kwaninaonasasa nitaambulia magonjwa bure, alivyokuja kwako kaka na kukwambia kuwa ananiitaji turudiane tena wewe kaka ukampa mashartri sasa naona yale masharti ameshayasahau hivyo ni bora nije Arusha ili nipumzike na hiyo zawadi unipe mm na mume wangu wa zamani Excellent kwani naona yeye ana moyo wa kujali na kupenda sio huyu ambaye anaonekana machoni ni mpole na kondoo kumbe ni mbwa mwitu, pls kaka mm moyo wangu bado umejaa kwake ila matendo yake yananiondoa hapol feri acha nipumzike kidogo nione kama atajirekebisha na akija home tena kaka mpe faini ya kukaa nje kwa siku 5 kama sulindutu ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye kuratibu wanawake ovyo nje ya ndoa
naunga hoja
Hahahahaaaa dada yangu ladyfurahia ni kweli hili neno linamfaa sana mumeo maana hajatulia hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Naomba umwambie Shemejio Mentor mm uvumilivu umenishinda narudi kwetu Arusha kwaninaonasasa nitaambulia magonjwa bure, alivyokuja kwako kaka na kukwambia kuwa ananiitaji turudiane tena wewe kaka ukampa mashartri sasa naona yale masharti ameshayasahau hivyo ni bora nije Arusha ili nipumzike na hiyo zawadi unipe mm na mume wangu wa zamani Excellent kwani naona yeye ana moyo wa kujali na kupenda sio huyu ambaye anaonekana machoni ni mpole na kondoo kumbe ni mbwa mwitu, pls kaka mm moyo wangu bado umejaa kwake ila matendo yake yananiondoa hapol feri acha nipumzike kidogo nione kama atajirekebisha na akija home tena kaka mpe faini ya kukaa nje kwa siku 5 kama sulindutu ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye kuratibu wanawake ovyo nje ya ndoa
naunga hoja

Ni sawa dada yangu.
Achana nae kwanza hana jipya.
Km chakula hata kwetu kipo pa kulala pako...shida yako nini? Kifanyio? Tutamuomba Bishanga akusaidie siku moja moja usiwaze.
Kwa Mentor hakuna jipya...!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wako ni nani ? TANMO ? Mimi ?
Halafu nifikishie salamu zangu kwa dada yako snowhite na kaka yenu moto2012 plus mdogo wenu Kipipi

Dada FP tafdhali piga chini hii shemeji mashaka haijiamini kabisa, manake ipo siku atatakiwa kuwakirimu mashemeji japo kwa soda atakana kama Simon Petro at "si mimi" labda mwoneni TANMO!
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa dada yangu.
Achana nae kwanza hana jipya.
Km chakula hata kwetu kipo pa kulala pako...shida yako nini? Kifanyio? Tutamuomba Bishanga akusaidie siku moja moja usiwaze.
Kwa Mentor hakuna jipya...!

Erickb52 acha kuingilia magomvi ya wapenzi.. Mentor ni shemeji yangu na cintokubali aingiliwe au kubomolewa nyumba yake..
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha Erickb52 kumbe nipo kwenye probation..lol
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu nini sasa kunikatiza kwenye ndoto?
yaani hapa naona maluweluwe tu, lol! usingizi mtamu jamani, ukizingatia nilikuwa namuota teja! we acha tu.....
nakuaminia mdogo wangu kwa kunikingia kifua, yaani huwa najiaminije nikiwa karibu yako......! Mungu anipe nini tena zaidi ya mdogo wangu wewe?
cc. sakapal, Erickb52, na loya EMT
sasa unaweza kurudi kwenye usingizi wako dada langu!
kajiotee teja lako la miaka 200 na kenda wee!
 
matokeo yamechakachuliwa
1.haiwezekani Erickb52awe mshiriki na hapohapo mratibu
2.mratibu kacheza faulo kunipora Kipipi wangu katika mazingira tatanishi kwani alishapigwa chini ila ametumia cheo cha uratibu kujimilikisha kwa nguvu

kutokana na maelezo hayo hapo juu tunatangaza kupinga matokeo na tunaomba uchaguzi urudiwe na mratibu awe Bishanga .

Azimio la kurudiwa kwa uchaguzi lisipotekelewzwa tutafanya maandamano JF ambayo yataanzia chit chat kuelekea barabara ya MMU tutaweka kambi ndogo pale halafu tutaendelea na kuishia love connect tutakapofanya mkutano mkubwa wa hadhara

Hahahaaaa mwananthropolojia hayo maandamano lazma yapate kibari cha Invisible otherwise virungu vya ugoko vitatembea hadi mshike adabu.
Muulize Baba V anajua kwa undani
 
Last edited by a moderator:
mi najua my wee!
si ndo mana nikamwonya Erickb52 aache kabisa haya makitu!
cc FP ,mi nimeshamaliza utata dada mkubwa ,lol! !huyu mzee wa ndyofu hatawafuata fuata tena!

Na ndofu nimeacha dada snowhite
Hapa nahamia kwa Fanta Orange tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom