Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Kana roho mbaya . . . hakapendi wengine wafurahi.?
Yaani kazi kuharibu tu mapenzi ya watu.

BTW, na we ebu acha maneno ya kitoto bana!

wahenga walisema, "Happy is he who never loses his child's heart" so sidhan kama nakosea.

Ila honestly, hufurahi sana nikiona comment yako..popote!!! yani moyo hufarijika kujua uko salama...:A S-heart-2:
 
Wewe huyohuyo . . .
Kavurugaji mashuhuri.

Siku ya mwisho utakuwa na la kujibu!

Alokwambia kuna mwisho nani?
Mi nipo sana tu lol
Btw nakumiss kiukweli Kipipi
Ukipata muda niandikie japo barua kwenye P.o BOX
 
Last edited by a moderator:
wahenga walisema, "Happy is he who never loses his child's heart" so sidhan kama nakosea.

Ila honestly, hufurahi sana nikiona comment yako..popote!!! yani moyo hufarijika kujua uko salama...:A S-heart-2:

mmmmhhhh????? She is my sister remember,tread carefully meeeen
 
Hivi Chocs bado yuko kichwani mwako?
Mi ndio Erickb52 mwingine kopikopi kiwatengu
Sikamatiki hata kwa Nuclear aisee
Maji marefu..nakuomba achana na mawazo ya kumiliki kokote nilikojiweka maana hutaambulia kitu zaidi ya kuumizwa moyo.
Kwa Chocs ni mfano ila na kwa Kipipi muulize mwananthropolojia anajua alichoambulia kule.

Copy kwa snowhite (Shemeji kwa Kipipi)

mbona unajitangazia ushindi mapema?,ungejua huyo Kipipi alishakubali sijui nini kimembadili mawazo ananigomea mlangoni ghetto wakati mi tayar nishavimba chin,ila sijakubal ngoja niendelee kubembeleza
 
Itabidi nikulipe mshahara kwa hii kazi uliyojipatia, hahahaha nina machungu ya kumkosa bwana ila imebidi nicheke

Mi nilikuambia njoo kwangu namimi niunde SACCOS km ya Madame B naona unasuasua tu km hujisomi vile
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom