Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Ngoja nianze mchakato boss.... mambo yakijipa nitakuomba uwe mwenyekiti wa kamati ya maandalizi
Kaunga popote ulipo pliz... nakuhitaji uwe barafu ya huu moyo wa Tuko

hivi The Boss hajakusoma tu?
Kheri ya mwaka mpya kwako, Arushaone and all chit chatters; kitambo sijakatiza kibande hii.
 
Last edited by a moderator:
ni wewe au nafananisha?ngoja nrudi kule

Unajua kuna jamaa alikuwa amenipa kazi ya kumuunganishia Kaunga... sasa ndo nilikuwa namuuliza keshawahiwa?... we ni wangu tu amu, usijali...
 
mmmh!!!
 
amu huyu ndo shemeji eeeh!! Ebu nambie nipige vigelegele huku
 
Back
Top Bottom