Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uran, hapo umenena, naona wewe na 'Valentina' mwendo mdundo...we usikae kusuburia mwongozo, hapa ni mwendo wa kujibinafsishia kama mimi ninavyofanya kwa 'Valentina'
kashaniagizia hadi kwao.
Bishanga vs The secretarySio mashindano lakini hebu tucheki ni couple gani inayodeserve kuwa
Couple of the year 2013
Ndani ya Chit chat??
Je, ni Arushaone & Lady doctor?
Erickb52 & Chocs?
Filipo & marejesho?
kiwatengu & shansarie?
...............kuna nyingine ambazo binafsi sizijui.
ni ipi ilikuwa nzuri zaidi ndani ya Chit chata kwa mwaka 2013?
Narudia tena si mashindano!!!
The secretary umesahau ulikuja na bandiko la kutaka kutoka nje ya ndoa kuwa mwenzio Bishanga humuoni?Kwa hilo tu,limeiondoa hiyo couple kuwa bora!Couple bora wanavumiliana wakati wa shida na raha,muulize ladydoctor alivyokuwa akihangaika wakati Arushaone anaumwa,au muulize shansarie anavyokuwa anasononeka wakati kiwatengu amesafiri kikazi Mtwara!
That's my daughter.. And you better know your father in law in advance.
These are my rules
1. You hurt her I hit you on the nose.
2. I don't mind going back to jail for killing a third person who messes up with my daughter's feelings.
3. If you think of a cheap relationship with her read number 1&2
Otherwise HAPPY NEW YEAR
C.C valentine
sheria nimeziona ba mkwe! ila naona iliyokuu hapo ni upendo.
natakiwa kumpenda 'Valentina'...na nitafanya hivyo!!
The secretary umesahau ulikuja na bandiko la kutaka kutoka nje ya ndoa kuwa mwenzio Bishanga humuoni?Kwa hilo tu,limeiondoa hiyo couple kuwa bora!Couple bora wanavumiliana wakati wa shida na raha,muulize ladydoctor alivyokuwa akihangaika wakati Arushaone anaumwa,au muulize shansarie anavyokuwa anasononeka wakati kiwatengu amesafiri kikazi Mtwara!
Ngoja nikae pembeni kwa sasa... mengine haya..
Hebu na wewe weka mpango mkakati wako kwa mwaka wa Mahusiano 2014/2015
Valentina we jirani yangu nn tangibovu ipi unakaa asee matutina road au goba road inaweza ukawa jirani yangu asee tujuzane
we usikae kusuburia mwongozo, hapa ni mwendo wa kujibinafsishia kama mimi ninavyofanya kwa 'Valentina'
kashaniagizia hadi kwao.
happy new year mkuu