Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Ebu ngoja nitamuliza my dady baba V akueleze utaratibu kwa mila za kwetu. Napatikana tangibovu
Valentina we jirani yangu nn tangibovu ipi unakaa asee matutina road au goba road inaweza ukawa jirani yangu asee tujuzane
 
Last edited by a moderator:
Baba V niliomba mwongozo toka kwako juu ya KOKUTONA but you seem too busy to let us be one!
my babe KOKUTONA, hapo jiji la mahaba...i miss uuuuuu ooooh!
 
Last edited by a moderator:
Mshana jr na Angel Nylon

great great...CC kuna couples nyingi sana hii yako niliwahi kuisikia kipindi cha nyuma kidogo
sema ulisizi sehemu so haikuwika sana....
 
Valentina we jirani yangu nn tangibovu ipi unakaa asee matutina road au goba road inaweza ukawa jirani yangu asee tujuzane

atakuwa jirani yako tu huyu, kwa sababu nina mpango wakuja kwao, nitapita na kwenu!!

lakini unakumbuka kuna kitu uliambia kipindi kile cha interview, kuhusu uwepo wako!
au ulikuwa unadanganya tu?
 
atakuwa jirani yako tu huyu, kwa sababu nina mpango wakuja kwao, nitapita na kwenu!!

lakini unakumbuka kuna kitu uliambia kipindi kile cha interview, kuhusu uwepo wako!
au ulikuwa unadanganya tu?

Fafanua vizuri ueleweke sijakusoma bado
 
Back
Top Bottom