Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Kumbe ulikua ujui mi jirani yako eeh, hua nakuchabo kila siku unavopita apa uchochoroni. Iv yule jamaa anae kusindikizaga ni nani? Shemeji asipaone hapa.

Mmmh wewe huyu hakuna jamaa wa maana ni mateja tu wa mtaani si unajua ndo police wa mtaa hawa wakikusindikiza huibiwi unawapa miambili ya gongo unafika home kwa raha zako
 
Sio mashindano lakini hebu tucheki ni couple gani inayodeserve kuwa
Couple of the year 2013
Ndani ya Chit chat??

Je, ni Arushaone & Lady doctor?
Erickb52 & Chocs?
Filipo & marejesho?
kiwatengu & shansarie?

...............kuna nyingine ambazo binafsi sizijui.
ni ipi ilikuwa nzuri zaidi ndani ya Chit chata kwa mwaka 2013?

Narudia tena si mashindano!!!

Hakujawahi kutokea couple bora kama yangu na marejesho!
Hili nakuhakishia!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom