Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Oooh! Asante Mungu naona neema inaninyatia siku ya1 ya mwaka....niko very available baba angu!

ahaa sasa tunatakiwa kufuata taratibu zipi?
niambie kwanza unapatikana wapi..
 
wameshaanza kuzifuata sasa?
love doesnt copy

Tulia wewe uran watoto wetu wamelelewa kwenye misingi yenye maadili na wanayafuata hii ni
Pamoja na kumuweka mungu Kama kiongozi wa kwanza na kuomba usimamizi wake
 
Last edited by a moderator:
Tulia wewe uran watoto wetu wamelelewa kwenye misingi yenye maadili na wanayafuata hii ni
Pamoja na kumuweka mungu Kama kiongozi wa kwanza na kuomba usimamizi wake

give me one, to marry
 
mbona hata huu wito kaniitia yeye?
we na urembo wako bado upo single?
hebu achana na haya mambo ya utawa, utaulizwa na mungu eti
huo uzuri wako umeutimiaje?
 
niko single kabisa!
a u available?

That's my daughter.. And you better know your father in law in advance.

These are my rules
1. You hurt her I hit you on the nose.
2. I don't mind going back to jail for killing a third person who messes up with my daughter's feelings.
3. If you think of a cheap relationship with her read number 1&2

Otherwise HAPPY NEW YEAR
C.C valentine
 
Last edited by a moderator:
Ebu ngoja nitamuliza my dady baba V akueleze utaratibu kwa mila za kwetu. Napatikana tangibovu

Kwanza kabisa nimemwandikia sheria zangu hapo juu azijue kabisa... asije lalamika baadae. Watoto wenyewe tumesomesha Inteneshno nyie..
 
That's my daughter.. And you better know your father in law in advance.

These are my rules
1. You hurt her I hit you on the nose.
2. I don't mind going back to jail for killing a third person who messes up with my daughter's feelings.
3. If you think of a cheap relationship with her read number 1&2

Otherwise HAPPY NEW YEAR
C.C valentine

Google translation failed..

HAPPY NEW YEAR 2014..too
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa nimemwandikia sheria zangu hapo juu azijue kabisa... asije lalamika baadae. Watoto wenyewe tumesomesha Inteneshno nyie..

sheria nimeziona ba mkwe! ila naona iliyokuu hapo ni upendo.
natakiwa kumpenda 'Valentina'...na nitafanya hivyo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom