Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

ahaaa..naona unataka kuniweka kwenye neema, nikimpata! moyoni nitafurahi sana!!
mweleze kabisa kuwa nitampenda kwa moyo wangu wote.
Kila anachotaka nitampatia.
Hata akitaka kwenda nchi za nje nitampeleka kwa pesa zangu.

Ninavyomjua AshaDii mkuu anachohitaji yeye ni upendo wa dhati tu... kama ni pesa... looh... sema hawajawahi kutoa list ya mabilionia wa kike tz... lazima angekuwepo
 
Last edited by a moderator:
Ninavyomjua AshaDii mkuu anachohitaji yeye ni upendo wa dhati tu... kama ni pesa... looh... sema hawajawahi kutoa list ya mabilionia wa kike tz... lazima angekuwepo

kumbe na yeye zimo? safi sana mkuu, nitauweka upendo wangu wote kwake!!!
 
Uliobahatika mnaraha nadhani hata mwaka mpya mmesheherekea pamoja bila stress! Hongera yenu.

kaka njoo huku jiachie sana na uwe na uhuru wa kuchagua.
 
Mimi Mwenyekiti wa Mahusiano natangaza couple bora ni baina ya Mwenyekiti Mimi na mke wangu Chocs
No swali.....!
We Baba V baki kuwa mfanobwa mwenyekiti na naomba uendelee kukaiimu nafasi yangu pindi nikiwa busy.
 
Last edited by a moderator:
Mimi Mwenyekiti wa Mahusiano natangaza couple bora ni baina ya Mwenyekiti Mimi na mke wangu Chocs
No swali.....!
We Baba V baki kuwa mfanobwa mwenyekiti na naomba uendelee kukaiimu nafasi yangu pindi nikiwa busy.

mnagombea tena madaraka hata kwenye mahusiano?
utakaimiwa hadi mke
 
Back
Top Bottom